Tuesday, 11 October 2016
Home »
Habari Moto
» Habari Katika Magazeti ya siku ya Leo Jumatano ya Octoba 12 yako hapa.
Habari Katika Magazeti ya siku ya Leo Jumatano ya Octoba 12 yako hapa.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>SIKU chache baada ya kusambaa kwa picha yake inayomuonesha akiwa amepungua mwili na kuzua mjadala mitandaoni huku wengi wakimuonea huruma, mkongwe wa Muziki wa Takeu, Lucas Mkenda ‘Mr. Nice’ ameibuka na kufungukia afya yake.Fahamu zaidi hapa. Picha inayomuonesha Nice akiwa amepungua mwili ilizagaa mapema wiki hii kwenye mitandao ya kijamii ambapo wengi waliochangia mjadala wa picha hiyo, walisema staa huyo aliyetikisa kwa utajiri enzi hizo, kwa sasa atakuwa a… Read More
#YALIYOJIRI>>>Msanii mkongwe Joseph Haule ambae ni mbunge wa Mikumi ametoa msaada wa mabati katika shule ya msingi Mamoyo.Fahamu zaidi hapa. Msanii mkongwe wa miondoko ya hip hop Joseph Haule ambae ni mbunge wa Mikumi ametoa msaada wa mabati katika shule ya msingi Mamoyo iliyopo katika kata ya Mabwerebwere. … Read More
#YALIYOJIRI>>>Madiwani wa UKAWA Wavamia Ofisi ya Halmashauri ya Jiji La Dar Wakitaka Kuelezwa ni Lini Uchaguzi wa Meya Utafanyika.Fahamu zaidi hapa. Zaidi ya madiwani 20 wanaotokana na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), jana walivamia ofisi za Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kumshinikiza Kaimu Mkurugenzi wake, Sarah Yohana kuitisha Baraza la… Read More
#BREAKING NEWS>>>KIJANA APONA KIFO BAADA KUKIMBILIA KITUO CHA POLISI MAENEO YA MABIBO MWISHO DAR-ES-SALAAM.FAHAMU ZAIDI HAPA.. Hili kundi ambalo lilikuwa linamkimbiza kwa mawe. Kijana ambae bado jina lake sijalipata kwa amepona kwa kuitiwa mwizi,kwa muji wa watu ambao nimewauliza na kusema huyo kijana ambae walikuwa wanamkimbiza hakuwa mwizi bali… Read More
#YALIYOJIRI>>>Maalim Seif Arejea Zanzibar Akitokea India Kwenye Matibabu,Mamia ya Wafuasi wake Wampokea, Asema Polisi Imegeuka tawi la CCM.Fahamu zaidi hapa. Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad jana aliwasili Zanzibar kutoka ughaibuni na kulilaumu Jeshi la Polisi nchini akisema, “hapana shaka yoyote sasa limegeuka tawi la CCM.” Maalim Seif alisema hayo jana … Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment