Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>HII NDO BARUA YA KUTOKA IKULU IKIKANUSHA JERRY MURO KUTEULIWA NA RAIS KUWA KAIMU MSEMAJI WA IKULU.Fahamu zaidi hapa.
ALICHO ANDIKA JERRY MURO BAADA YA KUONA BARUA YA KUKANUSHA UTEUZI WAKE
-
jerrymuro1980Tunashukuru
kwa ufafanuzi kutoka ikulu, wakati wa Mungu ukifika basi atafanya njia
cha msingi ni kuendelea kuwa na subiria na kungojea wakati wa Mungu @yangasc
Related Posts:
Simba Yafanya Kufuru Kumsajili Emmanuel Okwi Kwa Dau la Dola 50,000.
AKITUA tu nchini na kumalizana na Simba, mshambuliaji mwenye kasi na
mwendo wa kuyumba uwanjani, Emmanuel Anorld Okwi ndiye atakuwa mchezaji
ghali zaidi wa Simba.
Simba imejipanga kumalizana na Okwi kwa dau la dola 50… Read More
Beaking News..Mzee Akilimali Ajitokeza Kuwania Uenyekiti wa Yanga..Awataka Wanayanga Waachane na Kumpigia Magoti Manji.
Katibu Mkuu wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahimu Akilimali
ametangaza kuwania nafasi ya uenyekiti wa klabu ya hiyo iliyoachwa wazi
hivi karibuni na aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji.
Hivi karibuni… Read More
Breaking News Ratiba ya Premier League 2017/18 Imeshatoka hii hapa.
12 August, 2017
Arsenal v Leicester City
Brighton v Manchester City
Chelsea v Burnley
Crystal Palace v Huddersfield Town
Everton v Stoke City
Manchester United v West Ham United
Newcastle United v Tottenham Hotspur… Read More
Mayanga Aita Wachezaji 22 wa Taifa Stars kwa Ajili ya Michuano ya Kombe la Cosafa.
Kocha Mkuu wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Salum Shabani Mayanga, leo
Jumatano Juni 14, 2017 ametangaza majina ya wachezaji 22 watakaounda
kikosi kinachokwenda kushindana kuwania Kombe la Castle Cosafa nchini
Afrika … Read More
SPORT Pesa Kuzifikiria Upya Yanga, Simba kwa Everton.
KAMPUNI ya bahati nasibu ya SportPesa imesema inafikiria uwezekano wa
Simba na Yanga kucheza mechi dhidi ya timu ya Everton inayocheza Ligi
Kuu England ili kutoa fursa kwa wachezaji wake kujiuza.
Mkurugenzi wa Ut… Read More
0 comments:
Post a Comment