Mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Tundu Lissu baada
ya kufanikiwa kupata dhamana jana amefunguka na kuwashukuru watanzania
huku akisema si jambio la kufurahia sana kwani bado wenzao wanapata
mateso magerezani.
Mhe. Tundu Lissu ameyasema hayo kupitia mtandao wake wa twitter
"Asanteni Watanzania kwa maombi yenu hatuwezi kushangilia kama bado wenzetu wanateseka Magerezani" alindika Tundu Lissu
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment