Mwimbaji Misri Afungwa kwa Kuikashifu Mto Nile.
Mwimbaji wa Misri Sherine Abdel Wahab amehukumiwa miezi sita gerezani kwa kutania juu ya hali ya usafi wa mto Nile.
Sherine, ni mmoja wa waimbaji maarufu nchini humo pia ni jaji katika kipindi cha mashindano ya waimbaji,…Read More
0 comments:
Post a Comment