Home »
Michezo
» TASWIRA MANCHESTER CITY WAKIJIFUA BAADA YA KUJICHIMBIA ABU DHABI.Fahamu zaidi hapa.
Baada ya mchezo wao dhidi ya Manchester United kuahirishwa, Man City wameona ni nafasi nzuri ya kufanya mazoezi nje ya England.
Sasa wamejichimbia Abu Dhabi ambako
watakuwa wakifanya mazoezi kujiandaa dhidi ya Monaco. Pia mechi yao ya
Kombe la FA dhidi ya Huddersfield, itakayopigwa wiki ijayo.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#MICHEZO>>>>UFALME WA MESSI, RONALDO ULIVYO TOFAUTI UNAPOFIKA KATIKA MAJIJI YA BARCELONA, MADRID.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kutoka Hispania
UNAPOWAZUNGUMZIA
washambuliaji wawili wa Lionel Messi na Cristiano Ronaldo nje ya miji
ya Barcelona na Real Madrid, mambo yanakuwa tofauti kabisa na inavyokuwa
ndani ya miji hiyo.
Wote wawili, wan… Read More
#MICHEZO>>>>RASHFORD AFUNGA BAO DAKIKA YA MWISHO, MAN UNITED YAIBUKA NA USHINDI WA BAO 1-0 DHIDI YA HULL CITY.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Hull City (4-3-3): Jakupovic 7;
Elmohamady 6, Davies 8, Livermore 6.5, Robertson 6; Huddlestone 6.5,
Meyler 7, Clucas 6; Snodgrass 6.5 (Maloney 48 6), Hernandez 6.5 (Maguire
83), Diomande 6.5
Substitutes: Kuciak … Read More
#MICHEZO>>> Jose Mourinho Ampiga Mkwara Rashford.Fahamu zaidi hapa.
MWACHENI Jose Mourinho na kiburi chake aisee. Ungeweza kudhani angetoa
maneno ya kufariji kwa kinda Marcus Rashford baada ya juzi kuibuka na
ushujaa wa dakika za mwisho katika pambano gumu dhidi ya Hull City
ugenini. Mou… Read More
#MICHEZO>>>>JKT RUVU NA SIMBA NGUVU SAWA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Baada ya kupata ushindi wa magoli 3-1 kwenye mchezo wake wa kwanza dhidi
ya Ndanda FC, Simba SC imejikuta ikibanwa na maafande wa JKT Ruvu na
kulazimishwa suluhu (0-0) katika mchezo wa ligi ku Tanzania bara
uliomalizika … Read More
#MICHEZO>>>Thierry Henry Kuwa Kocha Msaidizi wa Timu ya Taifa ya Ubelgiji Kuungana na Roberto Martinez.Fahamu zaidi hapa.
Kocha mpya wa timu ya taifa ya Ubelgiji Roberto Martinez amesema
mchezaji wa zamani wa klabu za Arsenal na Barcelona, Thierry, ambaye
aling’aa sana wakati akichezea timu ya taifa ya Ufaransa, atakuwa mmoja
wa wasaidizi w… Read More
0 comments:
Post a Comment