Pichani ni Viongozi wa Chadema Mkoa wa Kigoma wakiwapokea Viongozi na
wanachama wa ACT wazalendo walioamua kujitoa katika chama chao baada ya
kuchukizwa na kitendo cha Mwenyekiti wao wa Taifa na viongozi wao wa
Kitaifa kukubali uteuzi wa Mkiti wao kuwa Mkuu wa Mkoa na kutekeleza
ilani ya CCM.
Wamesema kitendo hicho ni kukisaliti chama, miongoni mwa wanachama hao kuna wengine wemeamua kuachana kabisa na siasa.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment