Katika hali isiyo ya kawaida Waziri Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi ,
Wiliam Lukuvi jana alizua taharuki baada ya kuwasili katika ibada ya
mazishi ya aliyekuwa mbunge wa jimbo la Moshi Mjini Philemon Ndesamburo
akiwa ameongozana na magari mawili ya polisi waliobeba silaha.
Ibada hiyo ilifanyika Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Kiboriloni mjini Moshi jana.
Hali hiyo ilisababisha hofu kwa wananchi wengi waliokuwa nje ya kanisa
hilo na baadhi wakishindwa kuingia kanisani katika ibada iliyokuwa
inaendelea ndani.
Hata hivyo ni kawaida kwa waziri kuongozwa na vyombo vya usalama wakati wa msongamano wa watu.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment