Mbunge wa Muleba Anna Tibaijuka ametoa onyo kwa watu wanaopotosha kauli
yake na kukata vipande vifupi vya video na kuharibu maana ya aliyokuwa
anamaanisha kwa mchango wake bungeni
Amesema kufanya hivyo ni kosa kisheria na watu wanafanya hivyo makusudi
ili ujumbe aliokuwa amedhamiria kuufikisha usifike na kuwatupia lawama
wapinzani ndio walifanya hivyo na kuwataka watu watafute hotuba yake
yote
Amerudia tena anataka umeme upanuliwe na kama neno panua halitumiki tena basi msamiati mwingine utafutwe
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment