Tuesday 1 August 2017

Tundu Lissu Angeweza Kuisaidia Sana Serikali Katika Suala la Makinikia ya Acacia.

Ikifika wakati tukaweza kutofautisha itikadi zetu na maslahi ya Taifa basi tutakuwa tumepiga hatua kubwa.

Mazungumzo kati ya Kampuni ya madini Acacia na Serikali huenda yangezaa matunda mazuri kama serikali ya ccm ingekuwa tiyari kuwatumia wanasheria waliobobea kama kina Lisu na wengine bila kujali uchama.


Tuweke maslahi ya Taifa letu mbele.

By chakii/Jamii Forums

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment