
Mbongo
Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amejikuta akiangua kilio kama
mtoto mdogo na kuwashangaza watu kufuatia mashabiki wake kumtaka
awaimbie ‘akapela’ ya wimbo wake mpya wa Utanipenda.
Tukio
hilo ambao bado limo midomoni mwa mashabiki wake, lilijiri usiku wa
kuamkia Boxing Day (Desemba 26, 2015) ndani ya ‘Uwanja wa Taifa wa
Burudani’ Dar Live jijini...