Askofu Gwajima Amefutiwa Kesi ya Kushindwa Kutunza Siraha.
Askofu
wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amefutiwa kesi ya
kushindwa kutunza silaha baada ya mahakama kushindwa kuthibitisha
mashtaka hayo, na kuamuru arudishiwe mkoba wenye silaha yake.
TOA MAONI YAKO
…Read More
Mlipuko Umeripotiwa Kutokea Kwenye Treni Nchini Uingereza.
Ripoti
kutoka nchini Uingereza zinasema kuwa mlipuko umetokea kwenye treni
zinazokwenda chini kwa chini katika eneo la Kusini magharibi mwa mji
mkuu wa London.
Abiria katika kituo cha wazi cha Parsons Green wamesema kat…Read More
0 comments:
Post a Comment