MANCHESTER UNITED wamegeuka kwa Sir Alex Ferguson kwa ushauri juu ya mustakabali Louis van Gaal baada ya kuona mwenendo kwa michezo yake ligi kuu Uingereza na UEFA.
PICHA:7: YANGA IKIFANYA MAZOEZI USIKU HUKO UTURUKI.
Kikosi cha Yanga kipo nchi Uturuki kikiendelea kujifua kwa mazoezi
chini ya benchi la ufundi linaloongozwa na kocha mholanzi Hans van der
Pluijm akisaidiwa na mzalendo Juma Mwambusi.
Usiku wa jana Yanga walifanya mazoez…Read More
0 comments:
Post a Comment