#MICHEZO>>>>PELLEGRINI AMUONYA GUARDIOLA.Fahamu zaidi hapa.
Meneja wa Manchester City anayemaliza muda wake Manuel Pellegrini,
amemuonya vikali Pep Guardiola ambaye ndiye atakayechukua mikoba yake
kunako klabu hiyo juu ya kuwa na matarajio makubwa katika msimu wake wa
kwanz…Read More
#MICHEZO>>>WENGER AMTEGA OZIL KWA PAUN 60000.Fahamu zaidi hapa.
Kiungo
mshambuliaji kutoka nchini Ujerumani na klabu ya Arsenal ya England,
Mesut Mustafa Ozil, yu mbioni kusaini mkataba mpya ambao utamuwezesha
kulipwa mshahara wa Pauni laki mbili (200,000) kwa juma.
Meneja
wa Arsen…Read More
0 comments:
Post a Comment