Timu ya taifa ,Taifa stars yashindwa kupata ushindi wa kutosha na
kuondolewa kwenye michuano ya CHANIkwa
kufungwa jumla ya mabao manne kwa moja 4-1 na Uganda The Cranes.
KISIKI SOL CAMPBELL ANATUA LEO NCHINI, NI MAMBO YA SPORTPESA.
Yule
beki kisiki wa zamani wa Arsenal, Sol Campbell anatarajiwa kutua nchini
leo Jumamosi mchana kwa mwaliko wa Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya
SportPesa.
Campbell
ambaye pia amewahi kuichezea Tottenham Hotspur…Read More
0 comments:
Post a Comment