Tuesday, 1 September 2015

#YALIYOJIRI>>>Edward Lowassa mgombea urais kupitia UKAWA apokelewa na Maeflu Huko Ruvuma Hii leo.Fahamu zaidi hapa.

 Mgombea Urais wa UKAWA, Mhe. Edward Lowassa akiwa na waziri mstaafu Fredick Sumaye, Mkoani Ruvuma
 Umati wa wakazi wa Mkoa wa Ruvuma wakiwa katika mkutano wa Mgombe Urais wa UKAWA, Mhe. Edward Lowassa
 Hawa ni WanaRuvuma wakiwa kwenye mkutano wa UKAWA hii leo.
 Hawa ni maelfu wa WanaRuvuma wakiwa wameshikilia mabango yenye ujumbe mbali mbali.
 Mgombe Urais wa UKAWA Mhe. Edward Lowassa akiwasalimia wakazi Mkoa wa Ruvuma.
 Umati wa watu wanaunga mkono UKAWA wakiwa katika mkutano, Kumsikiliza Mgombe Urais Mhe. Edward Lowassa.
 Wananchi wa Songea waliojitokeza katika viwanja vya Matalawe, kumsikiliza Edward lowassa.

  Hawa ni maelfu wa WanaRuvuma wakiwa wameshikilia mabango na Bendera yenye ujumbe mbali mbali.
Waziri wa zamani Sumaye akiwa anawautubia Wananchi wa Ruvuma hii leo.
Toa maoni yako hapa.

Related Posts:

  • Mzee Kingunge Kuzikwa Leo Hii Hapa Ratiba ya Mazishi. RATIBA  ya mazishi ya aliyekuwa mwanasiasa mkongwe, Kingunge Ngombale Mwiru, iliyotolewa na familia yake jana inaonyesha atazikwa leo Jumatatu katika shughuli itakayoanza saa 9:30 hadi 11:30 katika makaburi ya Kinon… Read More
  • Majibu ya Serikali Kuhusu Zile Milioni 50 Ilizoahidi Kwa Kila Kijiji Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbasi amesema kuwa serikali itaweka utaratibu utakaowezesha kutekelezwa kwa ahadi ya kutolewa milioni 50 kila kijiji, hivyo wananchi wasiwe na hofu.Dkt… Read More
  • TANZIA: Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Afariki Dunia. Mzee Kingunge Ngombale–Mwiru amefariki dunia alfajiri ya leo.Tupo hapa na masikitiko makubwa.Poleni sana sana wafiwa na kijana wake Kinje (Mama yake alifariki 4/1/2018 na Baba yake leo)May his soul Rest in Eternal Peace. D… Read More
  • Kampuni ya TTCL Yafutwa. Akizungumza na waandishi wa habari, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Makame Mbarawa, amesema kuwa anamshukuru sana Rais Magufuli kwa kuona umuhimu wa kuona wa kuwa na shirika la mawasiliano madhubuti kwa ajili … Read More
  • Polisi Wakamata Machungwa Yaliyoibiwa. Polisi wa huko jijini Seville nchini Hispania wakamata watu watano jana baada ya kufukuzana nao kwa kasi na ndipo hapo polisi waligundua tani hizo za machungwa zilizoibiwa ambazo watuhumiwa walikuwa wameyajaza ndani ya m… Read More

0 comments:

Post a Comment