Monday, 28 December 2015

#HABARI>>>Diamond Amwaga Machozi Ukumbini.Fahamu zaidi hapa.

Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amejikuta akiangua kilio kama mtoto mdogo na kuwashangaza watu kufuatia mashabiki wake kumtaka awaimbie ‘akapela’ ya wimbo wake mpya wa Utanipenda. Tukio hilo ambao bado limo midomoni mwa mashabiki wake, lilijiri usiku wa kuamkia Boxing Day (Desemba 26, 2015) ndani ya ‘Uwanja wa Taifa wa Burudani’ Dar Live jijini...

Sunday, 27 December 2015

Angalia Video mpya Ommy Dimpoz - Achia Body.Hapa hapa.

...

Angalia Video ya Diamond Platnumz - Utanipenda.Hapa hapa.

...

#MICHEZO>>>Bondia Thomas Mashali amchapa Francis Cheka kwa pointi mjini Morogoro katika pambano la raundi 10, uzito wa Kg 77.Fahamu zaidi hapa.

Bondia Thomas Mashari amchapa Francis Cheka juzi kwa pointi mjini Morogoro katika pambano la raundi 10, uzito wa Kg 77. Majaji wamempa Mashari pointi 94, 96 na 97 wakati mwenyeji Cheka amepata pointi 96, 93 na ...

#YALIYOJIRI>>>Baada ya Askofu Gwajima Kumkana Lowassa, Dkt. Slaa Amtaka Awaombe Radhi Maaskofu pamoja na Watanzania Kwa Kusema Uongo.Fahamu zaidi hapa.

Baada ya Askofu Gwajima kusema kuwa hakuwa akimuunga mkono Lowassa, Dkt. Slaa amemtaka awaombe radhi Maaskofu pamoja na Watanzania kwa kuwadanganya.    Amesema hakutegemea Askofu Gwajima kumkana hadharani Lowassa ======Hili ni Tamko la Dr. Slaa======   i) Ni muhimu kwa "Mshenga Gwajima" kutubu na kuwaomba Radhi Watanzania kuliko kuendelea...

#YALIYOJIRI>>>Mrithi wa Dk Slaa CHADEMA Kujulikana Mwezi Ujao.Fahamu zaidi hapa.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema mchakato wa kumpata katibu mkuu wake utaanza mwezi ujao. Kwa mujibu wa taarifa ya Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kwa mujibu wa Katiba ya chama hicho, ndiye mwenye jukumu la kupendekeza jina la Katibu Mkuu na kulipeleka katika Baraza Kuu kupigiwa kura, kisha kupitishwa. Tangu Agosti 3, Katibu Mkuu...

MATOKEO YA LIGI KUU UINGEREZA YAKO HAPA.

...

#MICHEZO>>>Atima ya Louis van Gaal ipo matatani ndani ya Manchester United.Fahamu zaidi hapa.

 HAYA CHINI NI MATOKEO YA MCHEZO WA JANA KATI YA Stoke City NA Manchester United AMBAPO Manchester United IMEPOKEA KICHAPO CHA MAGOLI MAWILI HUKU KOCHA WA Manchester United Louis van Gaal AKIENDELEA KUJIWEKEA MAZINGIRA MABAYA KATIKA AJIRA YAKE AKIWA AMEFUNGWA MICHEZO MINGI KWA MFULULIZO,HUKU SWALA HILO LA KUFUNGWA MICHEZO MINGI AKIACHIWA KOCHA WA ZAMANI WA Manchester...

#HABARI>>>Rais Magufuli Akutana na Dkt. Shein Ikulu Dar-es-salaam.Fahamu zaidi hapa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu Jijini Dar es salaam.   Akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya mazungumzo hayo, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amesema...

MAGAZETI YA JUMAPILI YA LEO DECEMBER 27 YAKO HAPA.

...

Friday, 25 December 2015

#YALIYOJIRI>>Rais Magufuli Ashiriki Misa Ya Krismasi Kanisa La Mtakatifu Peter Jijini Dar Es Salaam Leo.Fahamu zaidi hapa.

 Rais Dk Magufuli na Mkewe wakiwa na Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo baada ya Ibada yaKrismas Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam aliyemkaribisha kusalimia wananchi bada ya kumalizika kwa Ibada ya Krismas misa ya kwanza katika...

#YALIYOJIRI>>>Serikali Kuvunja Nyumba ya Waziri Mkuu wa Zamani Fredrick Sumaye.Fahamu zaidi hapa.

WAZIRI Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye, ameingia matatani baada ya kudaiwa kuvamia eneo la wazi na kuanza kuzungushia uzio, bila kufuata sheria na utaratibu wa ujenzi. Eneo hilo la kiwanja namba 719/1/3 lililopo Mkiocheni, mtaa wa TPDC, lilikuwa likitumika kwa ajili ya michezo, mikutano ya kisiasa, pamoja na mikusanyiko mbalimbali ya kijamii. Kufuatia ...

Thursday, 24 December 2015

MAGAZETI ALIYAMISI YA LEO DECEMBER 24 YAKO HAPA.

...