Sunday, 31 July 2016

#BREAKING NEWS>>>>JAMES LEMBELI ARUDI CCM KUTOKA CHADEMA.FAHAMU ZAIDI HAPA.

*_Mhe Lembeli amerudi chama cha CCM hivi mchana wa leo katika mkutano mkubwa wa Mhe Mwenyekiti wa CCM na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli… Huko mjini Kahama. Anasema haoni sababu ya kwenda na “..safari ya uhakika isiyo na uhakika… kule hamna kitu.”_*...

Irene Uwoya Asema Angeumudu ‘Ukuu’ wa Wilaya Kama Angepewa.Fahamu zaidi hapa.

Msanii wa filamu Irene Uwoya amefunguka kwa kusema kuwa kama angepata nafasi ya ukuu wa wilaya basi angefanya vizuri kwa kuwa ana uwezo mkubwa wa kuongoza. Irene Uwoyo Muigizaji huyo ameimbia Bongo5 kuwa hakuwa na matarajio yakuteuliwa lakini kama angeteuliwa angeitendea haki nafasi hiyo. “Mimi sijaomba wala sijawai kusema kama nataka hiyo nafasi, lakini kama ikitokea...

Mama Diamond Anywea Kwa Zari Hassan.Fahamu zaidi hapa.

DAR ES SALAAM: Imevuja! Baada ya muda mrefu kusambaa kwa habari kuwa mama wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Sandra’, ‘haivi’ na mwandani wa msanii huyo, Zarinnah Hassan ’Zari The Boss Lady’, imedaiwa kuwa kwa sasa bi mkubwa huyo amenywea kwa kumkubali Zari. Taarifa hizo zilizopenyezwa na chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya familia...

#YALIYOJIRI>>>Utajiri wa Dangote Washuka...Sasa Hayupo Katika List ya Matajiri Mia Duniani.Fahamu zaidi hapa.

Dangote Tajiri namba moja barani Afrika Aliko Dangote, sasa anashika nafasi ya 104 kati ya matajiri duniani. Dangote ameshuka kwa mara ya kwanza kati ya matajiri bora 100 chini ya jua kwa mujibu wa mtandao wa Bloomberg billionaires ranking. Bloomberg wamesema kwamba Dangote ameshuka sababu kubwa ikiwa ni kuporomoka kwa thamani ya pesa ya nchi ya Nigeria, Naira....

#BURUDANI>>>Mwana FA ataja wasanii wake bora wa Hip Hop bongo.Fahamu zaidi hapa.

Mwanamuziki Mwana FA amefunguka na kuwataja wasanii wawili ambao yeye siku zote amekuwa akiwakubali kutokana na uwezo wao na kazi kubwa waliyoifanya katika muziki wa Hip Hop Tanzania. Msanii Mwana FA akiwa na Mbunge wa jimbo la Mikumi Professor Jay kiasi cha kuwafanya watu waamini muziki huo siyo uhuni bali ni kazi. Mwana FA kupitia kipindi cha Friday Night Live...

#MICHEZO>>>SAMATTA AENDELEA KUFUNIKA UBELGIJI APIGA BAO DAKIKA YA 90 NA KUIBEBA GENK.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Mshambuliaji Mtanzania Mbwana Samatta amezidi kuonyesha makali yake nchini Ubelgiji baada ya kuifungia KRC Genk bao muhimu lililoipa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Oostende. Karelis ndiye alikuwa wa kwanza kufunga upande wa Genk, ilikuwa ni katika dakika ya 50, Samatta akaongeza katika dakika ya 90+1, yaani katika ile dakika moja ya nyongeza. Bao hilo la Samatta...

#BREAKING NEWS>>>>INASEMEKANA JUMBA LA KIFAHARI LA BILIONEA BHAKHRESA LINAUNGUA NA MOTO.FAHAMU ZAIDI HAPA.

INASEMEKANA ETI JUMBA LA BAKHRESA LIMEUNGUA NA MOTO VIBAYA . #SHILAWADU . POLE KWA WAHANGA WA MOTO A video posted by #Hatushindwi #Shilawadu (@soudybrown) on Jul 30, 2016 at 9:48am PDT...

#MICHEZO>>>Bayern munich na Manchester United zawa tishio.Fahamu zaidi hapa.

Bayern munich yafata mwenendo wa Manchester United baada ya hiyo jana,Man United kuifunga goli 5 timu ya Galatasaray kwa 2. Haya yafuatayo ni matokeo:- Inter milan 1-4 Bayern munichIcardi 90'J.Green 7' 30' 35'Ribery 12' ...

#MICHEZO>>>Wanacha wa SIMBA waongozwa na Agenda 10 za mkutano mkuu wa Simba leo.Fahamu zaidi hapa.

Wanachama wa simba sc wamejitokeza kwa Wingi leo katika ukumb wa Police mess kwa ajil ya mkutano mkuu leo wa mwaka 2016 Hii ndio List ya Agenda 10 za mkutano mkuu wa Simba leo....

#MICHEZO>>>>CHUJI ATUA KMC FC, LENGO NI KUIPANDISHA LIGI KUU, YACHUKUA WACHEZAJI MBEYA CITY, KAGERA.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amezindua rasmi kikosi cha kuipandisha KMC FC katika Ligi Kuu  Bara na moja ya mambo aliyofanya ni kumkabidhi jezi yake kiungo mpya wa timu hiyo, Athumani Iddi ‘Chuji’. Chuji ambaye ni nyota wa zamani wa Simba, Yanga na Mwadui FC amejiunga na timu hiyo tayari kabisa kuhakikisha msimu uhao inapanda daraja. Pamoja ...

#MICHEZO>>>BAADA YA ZOEZI LA KUKWANGUA, VIFUSI VITAJAZWA ZAIDI ILI KUANZA UJENZI WA UWANJA HUU WA SIMBA.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Uwanja wa Simba uliopo Bunju umeanza kukwanguliwa lakini imeelezwa kutamwagwa kifusi zaidi ya tani 100 tena. Imeelezwa baad ya zoezi hilo, kitakachofuata ni suala la kusawazisha kabla ya kuanza kuwekwa kwa nyasi bandia.   Hivyo pamoja na zoezi la kuukwangua uwanja, inaonekana ndiyo mwanzo kabisa na zoezi bado. Uongozi wa Simba umeanza kulifanyia kazi zoezi...

TAZAMA PICHA JINSI LOWASSA ALIVYO ZUILIWA KUINGIA POLISI AKIWA NA MBOWE LEO HII.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia  na Maendelea (Chadema), Freeman Mbowe  leo july 31 amewasili makao makuu ya jeshi la polisi kuitikia wito wa kuhojiwa na jeshi hilo huku hali ya  usalama ukiwa imeimarishwa   kabla na baada ya Mbowe kuwasili .   Mbowe akiwa na msafara wa magari nane walikutana na ulinzi huo makali ambapo  magari...

#YALIYOJIRI>>>>>Lowassa Uso Kwa Uso na Nape Nnauye Wakati wa Kuaga Mwili wa Mwandishi wa Tanzania Daima.Fahamu zaidi hapa.

Aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema na Ukawa, Edward Lowassa amekutana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Mnauye leo katika jumuiko la kuuaga mwili wa aliyekuwa Mpigapicha wa Tanzania Daima, Joseph Senga.  Mwili wa Joseph Senga (58) umesafirishwa leo kwenda nyumbani kwao, Shushi-Nyambichi, Kwimba mkoani Mwanza kwa ajili ya maziko hapo...

BAADA YA KUTOKA JELA HATIMAYE KOFFIE OLOMIDE APOST PICHA AKIWA NA MKEWE NA WATOTO WAKE.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Embattled Congo musician, Koffi Olomide shares photo with his beautiful wife, Alaine Didi Stone shared a photo of her embattled father, Koffi Olomide and mother, Alaine on Instagram moments ago. The 16-year-old captioned it: “My loves”   Meanwhile, the Congolese music maestro is a free man after spending two days of supposed 3-month jail term for assaulting...

#YALIYOJIRI>>>Lowassa afunguka mengi Leo....Adai hakuna mwenye hati miliki Ya Nchi.Fahamu zaidi hapa.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowasa amemtaka Rais John Magufuli kuwa na utamaduni wa kufanya mazungumzo na wanasiasa wenzake ili kufikia muafaka wa mambo mbali mbali ya kisiasa nchini. Lowasa ameyasema hayo leo wakati wa mahojiano na Tido Mhando kupitia kipindi cha Funguka kinachorushwa na Televisheni  ya Azam. Lowasa amesema...

#Live>>>>Mahojiano ya Edward Lowassa na Tido Mhando.Fahamu zaidi hapa.

...

Saturday, 30 July 2016

#MICHEZO>>>Man United yaendelea kuwa tishio michezo ya kirafiki baada ya hii leo kuichapa goli 5 timu ya Galatasaray.Fahamu zaidihapa.

Man United 5 - 2 GalatasarayIbrahimovic 4'Rooney 55' 58' (Pen)Fellain 62'Mata 75'Gumus 22'Bruma 41'#MechiYaKirafiki # ...