Friday 4 August 2017

HABARI NJEMA: Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeshusha Riba kwa Benki Kutoka 12% hadi 9%.

Benki Kuu(BoT) imetangaza kushusha riba kwa Benki zinazokopa BoT kutoka 12% iliyokuwepo hapo awali hadi 9%.

Kwa mujibu wa taarifa hii ya Naibu Gavana wa Benki Kuu Utawala na Udhibiti wa Ndani, Bi. Julian B. Raphael inataarifu kuwa utekelezwaji wa kiwango hiki kipya unaanza tarehe 7 mwezi huu mpaka hapo yatakapofanyika mapitio mapya.

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment