Tuesday 1 August 2017

Maskini Mchezaji Thomas Ulimwengu Afanyiwa Operation.

Jumatatu ya July 31 mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Thomas Ulimwengu anayecheza katika timu ya AFC Eskilstuna ya Sweden kutumia ukurasa wake wa instagram alitoa taarifa kwa watanzania kuhusu hali yake.

Ulimwengu kupitia ukurasa wake wa instagram ameweka wazi kuwa amefanyiwa upasuaji wa goti na kufanikiwa kumaliza salama nchini Afrika Kusini na anaanza mazoezi ya miguu kama sehemu ya tiba ya kuponesha jeraha hilo haraka.

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment