Mwanamziki Diamond Platnumz amechaguliwa tena kwenye tuzo zingine
uko Uganda zinazoitwa Uganda Entertainment Awards kama msanii Bora wa
Africa(Best Afrika Act) Anaomba kula yako.
Mali za Lugumi Mikononi Mwa TRA.
Kampuni ya udalali ya Yono, imefanikiwa kukamata mali za
wafanyabiashara wanaodaiwa kodi ya serikali inayofikia zaidi ya Sh
bilioni 68.1. Operesheni ya kukamata mali hizo kwenye maeneo mbalimbali
ndani na nje ya Ji…Read More
0 comments:
Post a Comment