Home »
Michezo
» #YALIYOJIRI>>Emmanuel Adebayor Abadilisha Dini.
Mshambuliaji
wa timu ya taifa ya Togo Emmanuel Adebayor amekuwa na wakati mgumu miezi
michache iliyopita akiwa Tottenham Hotspur, hivi karibuni aliweka wazi mambo
magumu ambayo yalikuwa yakiendelea kwenye familia yake kupitia ukurasa wake wa
face book.
Mwezi Mei, Tottenhma ilimpa muda mchezaji huyo ili aweze kutuliza akili
yake kutokana na ugomvi uliokuwa umetokea kwenye familia yake.
Kwa sasa maisha yake ya baadae haijajulikana sana yatakuwaje, mchezaji huyo wa
zamani wa Arsenal na Man City leo ameonekana kwenye video akibadilisha dini
kutoka kuwa mkristo na kuwa muislam.
Related Posts:
Serengeti Boys yatoa kipigo kwa warundi kwa goli 3-0.Fahamu zaidi hapa.
Timu
ya taifa ya Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys, leo imeibuka na
ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya vijana wenzao wa Burundi katika
mchezo wa kirafiki uliopigwa kwenye Uwanja wa Kaitaba, Kagera.
Katika
… Read More
ILE TAARIFA YA NYASI BANDIA ZA SIMBA ZILIZO BANDARINI KUTAKA KUPIGWA MNADA IKO HIVI.
Kuna taarifa ya nyasi za bandia za Simba kutaka kupigwa mnada imekuwa ikisamabaa kwa kasi kubwa mitandaoni na iko hivi.
"Kampuni ya udalali ya
Majembe Auction Mart inataka kupiga mnada nyasi bandia za SIMBA SPORTS
CLU… Read More
SOKA LINALIPA MWANANGU, LINGARD MIEZI 18 MAN UNITED, SASA ANA GARI LA SH MILIONI 500.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Jesse Lingard sasa ana miezi 18 tu ndani ya kikosi cha Manchester United na mafanikio ya kimaisha yameanza kuonekana.
Umri wake ni miaka 24 tu, tayari sasa anamiliki gari la kifahari aina ya
Bentley Continental GT leny… Read More
BAADA YA FIFA KUMFUNGIA MESSI MECHI NNE, BARCELONA YATOA INACHOKIAMINI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Baada
ya Lionel Messi kufungiwa mechi nne na Shirikisho la Soka la Kimataifa
(Fifa) baada ya kumshushia matusi mwamuzi wa pembeni, Klabu ya FC
Barcelona imetoa tamko.
FC Barcelona imesema haiungi mkono waamuzi kuny… Read More
MAJERAHA YA NGOMA, SASA NI HOFU KWA YANGA MAANA HAKUNA UHAKIKA KESHO.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Yanga wamekuwa na hofu kubwa kutokana na suala la majeruha kuwaandama.
Mshambuliaji Donald Ngoma bado anaonekana hana nafasi ya kuisaidia Yanga katika mechi dhidi ya Azam FC, kesho.
Ngoma anaonekana
hajapona vizur… Read More
0 comments:
Post a Comment