Tuesday, 7 July 2015

#YALIYOJIRI>>Mbunge wa CHADEMA Mhe. John Shibuda aiandikia barua Kamati Kuu kuomba kukoma Uanachama wa CHADEMA.




Mh John Shibuda ameandika barua kamati kuu ya chadema ya kuomba kukoma kuwa mwanachama waChadema baada ya bunge hili kuvunjwa.

Kamatikuu ya Chama imeridhia na kumtakia safari njema,na mafanikio mema huko aendako.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment