Siku ya Julai Mosi 2016, Mwenyekiti Mtendaji wa Bongo5 Media Group Limited, Luca Neghesti na Miss Tanzania 2005 na Miss World Africa, Nancy Sumari wamefunga ndoa. Hapa chini ni picha za wawili hao wakifurahia tukio hilo.
Sunday, 3 July 2016
Picha za harusi ya Nancy Sumari ilivyofana.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
BAADA YA KUPATA UMAARUFU KWA KUFANANA NA WEMA MWANADADA TUERNY SASA AAMUA KUJIMWAGA HUKO MITANDAONI.FAHAMU ZAIDI HAPA. … Read More
#BURUDANI>>>>Nuh Mziwanda asema jina la wimbo ‘Jike Shupa’ ni wazo la AliKiba.Fahamu zaidi hapa. Mkali wa wimbo ‘Jike Shupa’ Nuh Mziwanda amefunguka kwa kusema kuwa wazo la jina la wimbo huo alikuja nalo AliKiba. Muimbaji huyo ambaye alikiri wimbo huo kumwimbia aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Shilole, amekiambia kipi… Read More
Send Off ya Mchumba wa Masanja Mkandamizaji iliyofanyika Tar 4 Aug 2016.Fahamu zaidi hapa. Send Off ya Mchumba wa Masanja Mkandamizaji iliyofanyika Tar 4 Aug 2016, Nimekuwekea Video Hapa Chini: … Read More
Huu ndio Utajiri wa Zari The Boss Lady. Wema Sepetu Hagusi Hata Robo.Fahamu zaidi hapa. Je unamjua Vizuri Zari Hassan Mama Mtoto wa Mwanamuziki Diamond Platnumz? Video hii Hapa chini itakupa kujua Zari ni Nani pamoja na thamani ya utajiri wake Tazama Video: … Read More
#Burudani>>Mwimbaji Rayvanny Afunguka Haya Baada ya Muonekano Wake Mpya Kuwakwaza Mashabiki Wake.Fahamu zaidi hapa. "Nimeona comments nyingi kuhusu rasta nilizoweka lakini naomba watu waelewe kwamba haikuwa style yangu na wala sina mpango wa kufuga rasta nitabaki na style yangu moja tu maana nimeona jinsi nilivyowakwaza mashabiki wang… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment