Thursday 7 July 2016

#YALIYOJIRI>>>>Aliyekuwa mtangazaji ITV akiwa ofisini baada ya kuteuliwa Mkuu wa Wilaya.Fahamu zaidi hapa.

Baada ya kuteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni, aliyekuwa mtangazaji maarufu wa ITV Godwin Gondwe aliapishwa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga na mara moja ameanza kutekeleza majukumu yake.

Hapa chini baadhi ya picha zikimuonyesha akiwa ofisi kwake wilayani Handeni tayari ameanza kutekeleza majukumu yake.

0 comments:

Post a Comment