Home »
Burudani
» Huyu ndiye mpenzi wa Lulu, awekwa hadhari leo.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
Harmorapa Amchana Mose Iyobo Kwenye Interview ‘Nina Hela, Aje Nimwajiri Kama Dancer Wangu’..!!!.Fahamu zaidi hapa.
Baada ya kuachia track mpya iliyojaa utata utata hivi, Harmorapa ameweka
kila kitu ‘clear’ kilichomfanya kuandika mistari ya kumdiss dancer wa
Diamond, Mose Iyobo.
Kupitia kipindi cha Fleva Plus kinachoruka hewani kup… Read More
Rose Muhando Asakwa Apelekwe Soba,Adaiwa Kawa Mtumiaji Mkubwa wa Madawa ya Kulevya...!!!!.Fahamu zaidi hapa.
Taarifa mbaya ya kusikitisha kutoka kwa staa wa nyimbo za Injili, Rose
Muhando zinadai kuwa, mwimbaji huyo anasakwa na uongozi wa Sober House
ya Pederef ili waweze kumwokoa kwenye matumizi ya madawa ya kulevya
‘unga’.
… Read More
Harmorapa adai tayari anamiliki nyumba Mikocheni aliyonunuliwa na uongozi wake.Fahamu zaidi hapa.
Kumiliki mjengo kwa Dar sio mchezo mchezo lakini Harmorapa ni baba
mwenye nyumba pia kwa sasa, walau kutokana na maneno yake mwenyewe.
Rapper huyo machachari amethibitisha kuwa kwa sasa anamiliki nyumba
ambayo ipo maeneo… Read More
Harmonize: Wazo la wimbo ‘Niambie’ nilitaka Wolper aniambie kwanini ananipenda.Fahamu zaidi hapa.
Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amedai idea ya wimbo wake mpya
‘Niambie’ ilitokana na aliyekuwa mpenzi wake, Jacqueline Wolper.
Muimbaji huyo amedai alishindwa kujua ni kwanini malkia huyo wa
filamu alimpenda na … Read More
P-Funk: Diamond Anapaswa Kutulia Kidogo, lasivyo Watu Watamchoka.Fahamu zaidi hapa.
Producer mkongwe wa Bongo Records, P-Funk Majani, amesema kila siku akiendelea kusikia kuhusu Wasafi, itafika muda atawachoka.
Amedai kuwa ili label hiyo iendelee kufanya vizuri kwa muda mrefu, ni
lazima ibadilishe sound… Read More
0 comments:
Post a Comment