Saturday, 31 December 2016

HARMONIZE ACHAGULIWA NA RAIS KIKWETE KWENDA KUWABURUDISHA NYUMBANI KWAO SIKU YA KUUAGA MWAKA.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Hongera @harmonize_tz kwa kuchaguliwa kuburudisha katika hafla ya Kuukaribisha Mwaka Mpya Nyumbani kwa Mh Rais Mstaaf mh Jakaya Mrisho Kikwete, Msoga 31 dec 2016… Make us proud @harmonize_tz Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi Bonyeza Hapa CLICK HERE                              ...

Serikali Yapiga Marufuku Kuzungumzia Faru John.Fahamu zaidi hapa.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Ramo Makani amesema kuwa hakuna mwenye Mamlaka ya kutoa tamko au ufafanuzi kuhusu faru John kwa sasa zaidi ya Waziri Mkuu kwa kuwa jambo hilo liko chini ya ofisi yake. kwaajili ya uchunguzi. Ameyasema hayo Wilayani Ngorongoro katika ziara yake ya kikazi ya siku mbili wilayani humo kufuatilia changamoto za uhifadhi pamoja na...

Waziri Mwigulu Nchemba akutana na mama yake Chid Benzi.Fahamu zaidi hapa.

Waziri Mwigulu Nchemba akutana na mama yake Chid Benzi "Nimekutana na kufanya mazungumzo na mama wa msanii Rashid Makwilo "Chid Benz" ambaye kwasasa amepatwa na tatizo la Dawa za kulevya.Inasikitisha na haivumiliki kuona nguvu kazi ya Taifa inapotea huku wauzaji wakinufaika kwa pesa haramu.Ifahamike wazi vita ya serikali dhidi ya magenge, wauzaji na wasambazaji wa...

WACHINA WAKIWA KWENYE UBORA WAO, PEPE NAYE AFIKIRIA KWENDA ZAKE CHINA.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Unaweza kusema Wachina wameleta mambo, maana beki wa kati wa Real Madrid, Pepe naye anafikiria kwenda China. Hii ni sikh chache baada ya Carlos Tevez kukamilisha usajili wa kwenda China na atakuwa akipokea euro million 30 kila msimu. Taarifa zinaeleza, Pepe anafikiria kwenda China na kujiunga na moja ya timu zinazoshiriki Super League. Wachina wanaonekana kuanza...

Rose Ndauka: Sina mahusiano ya kimapenzi na MC Pilipili.Fahamu zaidi hapa.

Baada ya kuenea uvumi katika mitandao ya kijamii kuwa mchekeshaji MC Pilipili anatoka kimapeniz na Rose Ndauka, muigizaji huyo amekanusha uvumi huo. Wiki chache zilizopita kupitia kipindi cha The Play List cha Times FM mchekeshaji huyo alidaiwa kukiri kutoka kimapenzi na muigizaji huyo. Jana ijumaa muigizaji huyo amescreenshot ujumbe wa mtangazaji wa The Play...

Nicki Mbishi azungumza Ukweli...Adai Chidd Benz Hasaidiki na wala Hataki kuacha madawa.Fahamu zaidi hapa.

Hiki ndicho alichosema Nicki Mbishi azungumza Ukweli...Adai Chidd Benz ni mtu wa Kifo tuuu...Hasaidiki na wala Hataki kuacha madawa...watu kibao wamemshindwa...Hivyo Hakuna namna. ..!!! #BURUDANI>>>>Nicki Mbishi azungumza Ukweli Mkavu...Adai Chidd Benz ni mtu wa Kifo tuuu...Hasaidiki na wala Hataki kuacha madawa...watu kibao wamemshindwa...Hivyo Hakuna...

Friday, 30 December 2016

HUU NDO MSHAHARA NA MADENI ANAYO DAIWA MBUNGE ZITTO KABWE.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Leo December 30, 2016 Mbunge Zitto Kabwe kutoka Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo) kupitia akaunti yake facebook ametoa taarifa kuhusu madeni anayodaiwa, kiwango cha mshahara wake wa mwaka, kiasi cha pesa kilichopo benki, posho pamoja na mali zote anazomiliki. Hiki kimeandikwa na Zitto Kabwe leo.   Ndugu Watanzania, Kama mnavyofahamu kuwa ibara ya 132(4) na (5)...

HUYU NDO KIJANA ALIYEMCHOMA MKUKI MKULIMA…AMEKAMATWA LEO.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Polisi Morogoro wafanikiwa kumkamata aliyemchoma mkulima mkuki mdomoni.Wafugaji wa kijiji cha Changalawe kata ya Masanze wilaya Kilosa mkoani Morogoro walioyakimbia makazi yao wakihofia kukamatwa na jeshi la polisi kufuatia tukio la mkulima Agustino Mtitu kuchomwa mkuki mdomoni na kutokea shingoni hatimaye wamerejea makazini kwao huku wakilalamikia baadhi ya mifugo...

Kilichosababisha bondia Francis Cheka kufungiwa kucheza ngumi.Fahamu zaidi hapa.

Leo December 30, 2016 Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini (TPBC) imetangaza kumfungia kwa miaka miwili Bondia wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka kufuatia kitendo chake cha kugoma kupanda ulingoni kupigana na Bondia Abdallah Pazi “Dullah Mbabe”.Pambano hilo ilikuwa lifanyike Desemba 25 mwaka huu, katika Ukumbi wa PTA Saba saba jijini Dar es salaam, lililoandaliwa na...

Picha : Hali ya mwanamuziki Chid Benz yazidi kuwa mbaya.Fahamu zaidi hapa.

Watu wengi walionyesha kusikitishwa baada ya habari kuenea kuwa mwanamuziki Rashid Mkwiro maarufu Chid Benz ametoroka kwenye nyumba ya matibabu (Sober house) alipokuwa akipatiwa matibabu kutokana na kuathiriwa na matumizi ya dawa za kulevya.Kwa kadiri picha zake zinavyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii inaonyesha dhahiri kuwa mwanamuziki huyo hali yake inazidi kuwa...

EWURA yakubali ongezeko la bei ya umeme.Fahamu zaidi hapa.

Bei za umeme zimepanda kwa 8.5% badala ya 18.19% iliyopendekezwa na TANESCO. Ongezeko la bei ya huduma za umeme limetokana na kuzidi kwa gharama za uzalishaji wake. Shirika la umeme Zanzibar (ZECO) ambalo linanunua umeme wa jumla kupeleka Zanzibar limeongezewa 5.7% ya bei ya umeme. Ongezeko hilo halitaathiri wateja wa majumbani ambao matumizi yao hayazidi uniti 75...

Urusi Yaapa Kulipiza Kisasi Baada ya Marekani Kuwatimua Wanadiplomasia wa Urusi.Fahamu zaidi hapa.

Urusi imeonya kwamba italipiza kisasi hatua ya rais wa Marekani Barrack Obama ya kuwatimua wanadiplomaisa 35 wa Urusi kufuatia tuhuma kwamba Urusi iliingilia maswala ya uchaguzi wa Marekani kwa njia ya udukuzi wa mitandaoni. Obama amesema Urusi pia imekuwa ikiwadhalilisha maafisa wa Marekani. Kwa upande wake, rais mteule Donald Trump ambae mara kwa mara amekuwa...

AFUNGWA Jela Maisha Kwa Kuiba Simu ya Sh 110,000 na Kujeruhi.Fahamu zaidi hapa.

Kesi ya wizi wa simu aina ya Tecno iliyochukua takriban miaka miwili mahakamani, imefika tamati kwa mtuhumiwa kufungwa maisha jela. Hukumu hiyo ilifikiwa jana katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, baada ya mtuhumiwa Kassim Salum (18) kukutwa na hatia kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia nguvu wa simu yenye thamani ya Sh110,000. Mshtakiwa anadaiwa kutenda kosa hilo Januari...

WCB Watembelewa na Waziri wa Mambo ya Ndani.Fahamu zaidi hapa.

Katika kile kinachoonekana viongozi wa serikali kuvutiwa na jinsi Diamond na lebel yake WCB wanavyoibadilisha tasnia ya muziki wa Tanzania kuwa fursa ya kibiashara na kazi rasmi, Mh. Waziri wa wizara mambo ya ndani, Mwigulu Lameck Nchemba ametembelea ofisi za WCB na kukutana na baadhi ya wafanyakazi na wasanii wa label hiyo ili kuwapa moyo na kuwahakikishia kuwa serikali...

Thursday, 29 December 2016

#BREAKING NEWS>>>>BASI LA ABIRIA LAPATA AJALI SINGIDA MUDA HUU.FAHAMU ZAIDI HAPA.

zinasemekana kwamba watu watatu wamefariki dunia  akiwemo Dereva wa bus hilo Katika maelezo niliyo yapata mke wa Dereva nae alikuwa ndani ya hilo bus ila yey kasalimika. Lakini amemlilia mume wake mno baada ya kujua amefariki. Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi Bonyeza Hapa CLICK...

HII ndiyo Simu ya Milioni 16.5 Anayotumia Bilionea Alhaj Dangote.Fahamu zaidi hapa.

Inasemekana hii ndio simu anayotumia Bilionea Alahaji Aliko Dangote. Inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni kati ya $5000 hadi $7500. Ukibadilisha kwa pesa ya madafu ni kama milioni 16.5Tsh hivi. Alhaji sio mtu wa ki-spoti spoti Mfanyabiashara huyu raia wa Nigeria anamiliki kampuni tanzu ya mafuta inayofahamika kama Dangote Group yenye makao yake makuu nchini Nigeria. Kufikia...

ALIYECHOMWA MKUKI MDOMONI ASIMULIA.FAHAMU ZAIDI HAPA.

MKAZI wa kitongoji cha Upangwani, Kijiji cha Dodoma Isanga, Kata ya Masanze, wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro, Augustino Mtitu, aliyechomwa mkuki mdomoni na kutokea shingoni, amemshukuru Mungu, madaktari, uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Kilosa na wananchi wa kijiji hicho kwa kuwezesha kunusuru maisha yake.   Mkuki huo ulimjeruhi na kukimbizwa Hospitali...

MAKUBWA Yafichuka Faru John.Fahamu zaidi hapa.

Maofi sa wa Wizara ya Maliasili na Utalii, wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), wafanyakazi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na maofi sa Taasisi ya Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) wakiwamo madaktari, wakifanya uchunguzi wa Faru John baada ya kufa katika eneo la Sasakwa Grumeti. SAKATA la kutoweka kwa faru John lililoibuliwa wakati wa ziara ya...

VIDEO: Mchungaji Mtikila Aonekana Akiwa Hai Msukule.

VIDEO: Mchungaji Mtikila Aonekana Akiwa Hai Msukule Bonyeza kuangalia Video: Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi Bonyeza Hapa CLICK HERE                              ...

Viongozi Chadema Arusha Wakamatwa Na Polisi.Fahamu zaidi hapa.

JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu 12, wakiwemo viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Arusha. Viongozi hao walikamatwa kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo wakituhumiwa kuhusika kuchoma moto mashine za kuvuta maji kutoka kwenye chanzo cha Kangdet wilayani Karatu kwa madai kwamba wanatekeleza agizo la Serikali,...

Washitakiwa Wanne Mauaji wa Dr. Mvungi Waachiwa Huru.Fahamu zaidi hapa.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru washitakiwa wanne kati ya 10 waliokuwa wanakabiliwa na mashitaka ya mauaji ya bila  kukusudia ya aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi. Washitakiwa walioachiwa ni Masunga Makenza (40), mkazi wa Tabata Darajani, Zacharia Msese (33), Ahmad Kitabu (30) mkazi wa Mwananyamala na John...