Mshambuliaji
nyota wa zamani wa Inter Milan, Adriano alirejea tena San Siro usiku wa
kuamkia leo na kupewa heshima ya kuwaaga mashabiki wa klabu hiyo.
Mashabiki
walikuwa kibao wakati Inter Milan ikiivaa Lazio na kuibuka na ushindi
wa mabao 3-0 na walimshangilia kwa nguvu naye akionekana akiwa na furaha
sana.
Adriano
raia wa Brazil, alikuwa tegemeo wa Inter Milan 2001 hadi 2002 halafu
akarejea tena na kuitumikia kuanzia 2004 hadi 2009 alipoondoka na
kujiunga Sao Paolo kwa mkopo.
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi
0 comments:
Post a Comment