Huenda huu ukawa ni wakati mzuri kuliko katika maisha yote ya muziki ya msanii Darassa CMG, kutokana na makubwa ambayo anayafanya kwasasa baada tu ya ngoma yake ya Muziki kufanya poa kinoma noma mtaani.
Huwezi kuwataja wasanii ambao wanakinukisha kinoma noma kwa suala zima la shows kwasasa hapa Bongo ukaacha kumtaja Darassa.
Ukiachana na mashavu ambayo alikuwa akiyapata kwenye majukwaa ya
Fiesta, Darassa ni msanii ambaye ameendelea kukonga nyoyo za mashabiki
kwenye kila show anayofanya.
Exclusive ambayo nataka kukupa muda huu kumuhusu mkali huyo ni show
ambayo ameifanya usiku wa Christmas pande za Moshi, show ambayo taarifa
zinasema kuwa ukimbi ulijaa kiasi kwamba kutoruhusiwa mtu kuingia tena
ndani ya ukumbi huo (Sold Out). Ni rekodi katika historia ya muziki wa
Hiphop kwa hapa kwetu Bongo.
Nakupa nafasi ya kutazama jinsi alivyofanya mkali huyo kwenye show hiyo ya Moshi.
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi
Picha: Jux ahitimu Chuo, China.Msanii wa Bongo Fleva, Jux ameachia picha mtandaoni zikimuonyesha akiwa
katika mafahali kitu ambacho kinaashiria kuwa amehitumu Chuo.
Muimbaji huyo wa RnB kwa kipindi kirefu amekuwa akidai anasoma nchini
China lakini watu…Read More
HATIMAYE..Rayvanny Akamilisha Ndoto yake Kwa Jason Derulo.
Kushindwa kutumia fursa kwa kila nafasi unayoipata imeonekana ni dhambi
kubwa kwa wasanii wa WCB. Hatimaye Rayvanny amekamilisha ndoto yake
aliokuwa akiiota kwa muda mrefu.
Hitmaker huyo wa Zezeta, ambaye siku chache zi…Read More
Gabo amzungumzia Kanumba na Wema Sepetu.
Msanii wa Filamu Tanzania, Gabo amesema si kweli tasnia ya filamu imeshuka baada ya kifo cha Steven Kanumba.
Muigizaji huyo ameeleza kuwa watu wengi wanaamini kutokuwepo Kanumba
kumedhoofisha soko kutokana alikuwa wenye k…Read More
Saida Karoli: ‘Urugambo’ inanikumbusha mpenzi wangu.
Mwanamuziki mkongwe wa nyimbo za asili, Saida Kalori, ambaye kwasasa
anatamba na wimbo wake mpya ‘Urugambo’ ametoa ya moyoni kuwa wimbo huo
unamkumbusha mpenzi wake wa zamani.
Saida anasema umaarufu wa wimbo huo umemsaba…Read More
VIDEO: Diamond Kaongea Baada ya Rayvanny Kushindi Tuzo ya BET.
Ni Mwimbaji staa wa Bongo Fleva, makofi mengi amepigiwa kwenye utunzi
wake pamoja na ukali wake wa melody, anaitwa Rayvanny kutoka WCB ambae
June 24, 2017 ameshinda tuzo ya BET kipengele cha Viewers Choice Best
New Inter…Read More
0 comments:
Post a Comment