Home »
Burudani
» HALI YA CHID BENZ YAZIDI KUWA MBAYA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Msanii
mkongwe wa muziki wa hip hop, Solo Thang ameposti video akiwa na rapa
Chidi Benz ambaye walikutana usiku na kuongea baadhi ya mambo, lakini
kutokana na hali aliyokuwa nayo Chidi Benz Solo Thang alisema hawezi
kumuhukumu bali anastahili kuombewa tu.
Katika
ujumbe ambao Solo Thang aliandika kwenye mtandao wake wa Instgram
alisema hawezi kuhukumu na hata iweje bado Chidi Benz ataendelea kuwa
mdogo wake, rafiki yake na mtu wake wa karibu.
“Met
with my Young brother Chid Benz last night almost cried, I dont judge,
no matter what still my hommie, tumeongea sana, tuzidi kumuombea Mola”
aliandika Solo Thang
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi
Related Posts:
Video ya utupu ya Nandy na Bill Nass yawawekea uzibe Harmonize na Diamond Platnumz.
Kwa wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania, hususani kwa wale ambao wanamfuatilia Diamond Platnumz utagundua kuwa jana Aprili 12, 2018 aliahidi kuachia video ya wimbo wa ‘Kwa ngwaru’ ambayo amemshirikishwa na H… Read More
Video ya Utupu ya Bilnass na Nandy Yaizima Kwangaru ya Daimond.
Kwa wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania, hususani kwa wale ambao wanamfuatilia Diamond Platnumz utagundua kuwa jana Aprili 12, 2018 aliahidi kuachia video ya wimbo wa ‘Kwa ngwaru’ ambayo amemshirikishwa na H… Read More
Mange Kimambi Atabiri Roma Mkatoliki Kuhamia CCM Kama Alivyotabiri Wema Kuhama na Ikawa.
ANAYO ENDELEA MTANDAONI :Unakumbuka kabla ya wema sepetu kurudi ccm Mange Kimambi aliandika kwenye page yake ya instagram na kutoa sababu mbili nzito zilizomfanya Wema kurudi CCM?Awamu hii kamuibukia Roma Mkatoliki, anadai … Read More
Kimenuka: Jeshi la Polisi Limeshikilia Hati za Kusafiria na Simu za Wasanii Nandy, Billnass, Hamissa Mobetto na Diamond.
DAR: Jeshi la Polisi linashikilia hati za kusafiria pamoja na simu za wasanii Diamond Platnumz, Nandy, Billnass na Hamisa Mobetto kwa uchunguzi zaidiWasanii hao walikamatwa na kuhojiwa juzi na jana katika Kituo Kikuu cha Po… Read More
Augustine Mrema Akunwa na Muziki wa Daimond "Nampenda sana Daimond Huyu Mtoto Anajua Kuimba".
Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustine Mrema amesema yeye ni miongoni kwa watu ambao wamekuwa wakifuatilia muziki wa wasanii wa hapa nchini na kati ya watu ambao wanamkuna ni Naseeb Abdul maarufu kama Diamond.Mrema amesema … Read More
0 comments:
Post a Comment