Home »
Habari Moto
» Rais Kenyatta wamefungua kiwanda cha kuundia magari hayo nchini Kenya.Fahamu zaidi hapa.
Rais Uhuru Kenyatta na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Volkswagen, Dk. Herbert Diess, wamefungua rasmi kiwanda cha kuundia
magari hayo nchini Kenya, hii ikimaanisha kuwa sasa Volkswagen zitaundwa
Afrika Mashariki.
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi
Related Posts:
Shahidi wa pili atoa ushahidi Kesi ya Tundu Lissu.......Neno ‘dikteta uchwara’ Latikisa.Fahamu zaidi hapa.
Kesi
ya uchochezi dhidi ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu jana
imeendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam
ambapo upande wa Mashtaka umetoa ushahidi wa pili.
Lissu
anakabiliwa na… Read More
SUGU Aomba Radhi Kwa Familia ya Marehemu Baada ya Gari Lake Kumgonga Mtoto na Kumuua.Fahamu zaidi hapa.
SIKU moja baada ya gari la Joseph Mbilinyi (Sugu), Mbunge wa Mbeya Mjini
kupitia Chadema kumgonga Recho Lutumo (14) na kumuua, mbunge huyo
ameomba radhi familia ya marehemu, anaandika Mwandishi Wetu.
Ajali hiyo ilitokea … Read More
ALIYEBADILI Dini Afariki Baada ya Kubatizwa.Fahamu zaidi hapa.
Mkazi wa Mailisita wilayani Hai, Paulo (35) amekufa maji baada ya kuzama
katika mto Kikafu, dakika chache baada ya kubadili dini na kubatizwa na
maji ya mto huo kwa imani ya dini ya Kikristo.
Paulo ambaye jina lake la aw… Read More
Mkuu wa Wilaya aagiza kukamatwa mwandishi wa habari wa ITV.Fahamu zaidi hapa.
Mwandishi
wa habari wa Kituo cha ITV mkoani Arusha, Khalfan Lihundi, anashikiliwa
na polisi katika Kituo cha Polisi Usa River, wilayani Arumeru kwa
tuhuma za kuandika habari zinazodaiwa kuwa ni za uchochezi.
Lihundi
… Read More
Rais Magufuli Akataa Shule Kuitwa Jina Lake.Fahamu zaidi hapa.
Rais John Magufuli amekataa shule ya msingi iliyojengwa hivi karibuni eneo la Bunju, Wilaya
ya Kinondoni kuitwa kwa jina lake badala yake ameagiza iitwe kwa jina la
Mkuu wa wilaya hiyo, Ally Hapi.
Taarifa ya bad… Read More
0 comments:
Post a Comment