MAES
Uongozi wa KRC Genk umesema umelazimika kumtupia virago kocha wake Peter Maes kwa kuwa matokeo yalikuwa yakizidi kuporomoka.
Genk
ndiyo klabu anayoichezea Mtanzania Mbwana Samatta na ndiye
aliyependekeza kusajiliwa kwa nahodha huyo wa timu ya taifa ya Tanzania,
Taifa Stars.
Umesema
baada ya Maes kuondoka, msaidizi wake Rudi Cossey ndiye atachukua
nafasi ya kocha huyo hadi itakapotangazwa halo baadaye.
Mara ya mwisho, Genk ilipata ushindi kwenye Ligi Kuu ya Ubelgiji Novemba 19, jambo ambalo limeufanya uongozi ho kukata tamaa.
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi
0 comments:
Post a Comment