Home »
Michezo
» LIVERPOOL MWENDO WA KASI, YAIBAMIZA 4-1 STOKE CITY.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mshambuliaji wa
Kibrazil, Roberto Firmino akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao
la pili dakika ya 44 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Stoke City Uwanja wa
Anfield leo. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Goals: Adam
Lallana dakika ya 34, Giannelli Imbula aliyejifunga dakika ya 59 na
Daniel Sturridge dakika ya 70, wakati bao la Stoke City limefungwa na
Jon Walters dakika ya 12.
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi
Related Posts:
#MICHEZO>>>ZIMBABWE 3-0 TANZANIA (TAIFA STARS) 'LIVE' FULL TIME KUTOKA ZIMBABWE.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’
imeshindwa kutamba ugenini dhidi ya wenyeji Zimbabwe ‘The warriors’
baada ya kukubali kufungwa magoli 3-0 mchezo wa kirafiki wa kimataifa
uliochezwa uwanja wa Harare nchini Zimbabwe.
Daki… Read More
#MICHEZO>>>ANZA SIKU NA PICHA HII, ULIMWENGU AKIONYESHA NI MTU WA KUSAIDIA KAZI ZA STARS HATA NJE YA UWANJA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Msaada katika kikosi hicho na hapa anaonekana akisaidia kusukuma toroli lililojaa maji kwa ajili ya wachezaji walio mazoezini.
Lingeweza
kusukumwa na daktari wa timu au meneja, lakini Ulimwengu ameonyesha
pamoja na k… Read More
#MICHEZO>>>>KIUNGO MKABAJI AITWAYE CHAILA, AKUBALI KUTUA YANGA KUMFUATA LWANDAMINA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
CHAILA (KULIA)...
Baada
ya kocha George Lwandamina kumalizana na Yanga, mchezaji wa kwanza
ambaye ataungana naye anaonekana kuwa ni Meshack Chaila kutoka Zesco ya
Zambia.
Taarifa
zinaeleza, Yanga tayari wamefany… Read More
#MICHEZO>>>NAPE ATUA NYAMAGANA NA KUWATUMIA UJUMBE WANAOUTUMIA UWANJA HUO KATIKA KAMPENI ZA UONGOZI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
Waziri
wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye amesema Uwanja wa
Nyamagana ambao umewekewa nyasi bandia ni juhudi za watu kadhaa, lakini
kodi ya wananchi wa mkoa wa Mwanza ndiyo il… Read More
#MICHEZO>>>>TAIFA STARS WAPO KAMILI KWA AJILI YA KUWAPA KAZI ZIMBABWE.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kikosi
cha Taifa Stars kilitua salama na wachezaji wako tayari kwa ajili ya
kuwavaa wapinzani wao Zimbabwe katika mechi ya kirafiki mjini Harare,
leo.
Stard
imesafiri hadi mjini humo kwa ajili ya mechi ya… Read More
0 comments:
Post a Comment