Airtel Yamjibu Waziri wa Fedha Sakata la Ubinafsishaji wa TTCL.
Kampuni ya Bharti Airtel inayomiliki kampuni ya Airtel Tanzania,
imeeleza kusikitishwa kwake na taarifa ya kamati iliyoundwa kuchunguza
umiliki wake iliyotolewa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango
juzi.
Taar…Read More
Serikali ya Botswana Yamshutumu Trump kwa Kutusi Nchi za Afrika.
Serikali ya Botswana imemshutumu Rais wa Marekani kwa kusema mataifa ya
Afrika ni "machafu" na kusema tamko lake rais huyo ni la kukosa
kuwajibika, la kukera na "ubaguzi wa rangi".
Bw Trump alisema hayo alipokuwa akizu…Read More
Maporomoko ya Ardhi Yaua Watu 13 Marekani.
Watu 13 wamefariki kutokana na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na
mvua kubwa kusini mwa jimbo la California, Marekani, maafisa wamesema.
Wengine 163 wamelazwa hospitali, 20 wakiwa na majeraha yanayohusiana na mvua ku…Read More
0 comments:
Post a Comment