Home »
Burudani
» Haya ni maandalizi tu ya Sahara Garden pub inafanya shangwe za kukalibisha sherehe za Christmas 🌲 na Mwaka Mpya.Karibuni sn Mabibo Sahara mambo yameiva kiingilio ni sh.10,000/= na unapewa kinywaji na nyama.hii ni time yako.
UPDATING ZA MATUKIO HII LEO APATOSHI SAHARA GARDEN PUB.VIDEO
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi
Related Posts: #BURUDANI>>>>TETESI za Bifu Kati ya Raymond na Harmonize Kutoka WCB, Meneja Wao Asema Haya.Fahamu zaidi hapa.
Meneja anayewasimamia wasanii wa WCB wakiwemo Harmonize na Raymond,
Ricardo Momo, amekanusha tetesi kuwa mafahari hao wamekuwa wakivimbiana
na kwamba kila mmoja anajiona bora.
Akiongea na mtangazaji wa kipindi cha Supa M… Read More #BURUDANI>>>>>>Mwanamuziki Trey Songz Ambeep Juma Jux Kwa Kumuita Vanessa Mdee 'Baby'.Fahamu zaidi hapa.
Akisifika kama bingwa wa nyimbo za kutafutia watoto chumbani na pia
akiwa na mashabiki wengi zaidi wa kike, Trey Songz akimuita mpenzi wako
‘baby’ ni lazima moyo ukudunde!
Muimbaji huyo wa ‘Nana’ yupo Nairobi, Kenya alik… Read More #BURUDANI>>>>Davido Achekelea Nyimbo yake Kutumika Katika Movie Huko Marekani.Fahamu zaidi hapa.
Msanii David Adeleke Adedeji ameonesha furaha ya hali ya juu baada ya
kuisikia nyimbo yake ya Skelewu ikichezwa katika movie kubwa huko
Hollywood Marekani iitwayo Qween of Katwe
Katika movie hii pia yupo mkenya aliyewe… Read More #BURUDANI>>>>MASKINI MSANII ROMA ANAELEKEA WAPI NA MUZIKI WAKE..ASHUSHWA KWA NGUVU FIESTA MORO KISA KUIMBA MATUSI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Jumapili ya septemba 18 ilikuwa ndio siku rasmi ya kihistoria kwa
mvua ya burudani kuwanyeshea wakazi wa Morogoro katika msimu huu wa
Fiesta.
Ni wasanii wengi na wakali ambao walikuwa wamepangwa kufanya show usiku
huo b… Read More #BURUDANI>>>>>Orodha ya Wasanii Watakaowania Tuzo za MTV MAMA 2016, Navykenzo, Diamond na Alikiba Ndani.Fahamu zaidi hapa.
Orodha
ya wasanii watakaowania tuzo za MTV MAMA 2016, Jumamosi ya Oktoba 22
kwenye ukumbi wa Ticketpro Dome, Afrika Kusini imetoka – kuna vipengele
tisa. Tanzania inawakilishwa na Alikiba, Diamond na Navy Kenzo.
Hii ni … Read More
0 comments:
Post a Comment