Wednesday, 10 May 2017

BREAKING NEWZ ORODHA YA WAFANYAKAZI HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI WENYE VYETI FEKI

 Habari ambayo ilichukua headlines hivi karibuni ni kuhusu vyeti feki baada ya ripoti kukabidhiwa kwa rais Magufuli ambapo alitoa agizo kuwa wote waliotajwa kwenye orodha kuondoka kazini mara moja.
May 8 2017 Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wametoa Tangazo lililoambatanishwa na orodha ya wafanyakazi waliobainika kuwa wameghushi vyeti vyao vya elimu ya Sekondari hivyo wametakiwa kujiondoa wenyewe kazini ifikapo May 2017.
Taarifa hito imeeleza kuwa endapo kuna wafanyakazi hawajaridhika na uamuzi huo, imeelekezwa wakate rufaa kwa katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kabla ya May 15 2017 na barua zipitie kwa Mkurugenzi Mtendaji kwa ajili ya maoni yake.
Aidha angalizo limetolewa kuwa Wakuu wa Idara/Majengo wanatakiwa kuhakikisha kwamba wafanyakazi wanaohusika hawaendelei kutoa huduma. Nimekuwekea hapa orodha ya waliobainika kuwa na vyeti feki Muhimbili.

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa 

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment