Sunday, 7 May 2017

HATIMAYE CLOUDS WAAHIRISHA KURUSHA VIPINDI VYAO KAMA KAWAIDA KUTOKANA NA MSIBA WA WANAFUNZI.

KAMPUNI YA CLOUDS MEDIA KUPITIA VYOMBO VYAO VYA MATANGAZO WAAHIRISHA KURUSHA VIPINDI VYAO KAMA KAWAIDA KUTOKANA NA MSIBA WA WANAFUNZI HADI SIK YA JUMA NNE.KUANZIA LEO HADI SIKU YA JUMANNE USIKU RATIBA YA VIPINDI VYAO ITABADILIKA KUTOKANA NA MSIBA WA WANAFUNZI.HAKIKA HILI NI JAMBO LA KUPONGEZWA NA LINATAKIWA KUIGWA NA VYOMBO VINGINE VYA HABARI.


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa 

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment