Tundu Lissu akichangia bajeti habari, sanaa na michezo amesema katiba
yetu imeondoa mipaka ya uhuru wa habari na kipindi kuanzia mwaka 2015
uhuru wa habari unakabiliwa na hatari kuliko kipindi chochote,
Amemuuliza waziri wa katiba na sheria kuwa rais aliposema hadharani kuwa
waandishi wa habari hawana uhuru kiasi hicho kwa kutangaza habari za
migogoro ya wakulima na wafugaji alikuwa ameshauriwa na mtu au ni yeye
mwenyewe?
Amesema kuna mambo mabaya yanafanyika lakini wabunge wanayazuia
yasihojiwe bungeni ila baada ya muda na wao wataanza kushughulikiwa na
hakutakuwa na kelele
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza HapaFollow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment