Thursday, 4 May 2017

RAIS Magufuli Atatua Kero ya Kivuko cha Furahisha Mwanza, Daraja Mbioni Kufunguliwa.

Rais Magufuli aliahidi na anetekeleza. Anaendelea kutatua kero mbalimbali zinazowakabili wananchi.
Jiji la Mwanza kwa sasa linazidi kunawiri na kupata mwonekano mpya kutokana na ujenzi wa Daraja la Furahisha kufikia katika hatua nzuri. Daraja hilo kwa juu wanapita watembea kwa miguu na chini vyombo vya usafiri. Kwa waliopita kwenye Daraja la Manzese wanapata picha ila hili la Furahisha ni la kipekee kutokana na jinsi lilivyonakishiwa.


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa 

0 comments:

Post a Comment