Saturday, 30 January 2016

#YALIYOJIRI>>>Taarifa Ya Kukanusha Uvumi Wa Kuwepo Ajira Za Madaktari JWTZ.Fahamu zaidi hapa.

Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaoeleza kuwa JWTZ limetoa nafasi za kazi kwa vijana wenye fani ya Udaktari na kuwataka vijana hao kuripoti Makao Makuu na vyeti vyao kwaajili ya usaili.

Habari hizo si za kweli,JWTZ kama zilivyo taasisi nyingine za serilikali lina mfumo rasmi wa kutangaza habari zake hivyo jeshi linawaomba wananchi wazipuuze taarifa hizo.

Aidha JWTZ linawataka wamiliki wa mitandao ya kijamii kutotoa taarifa za jeshi bila kuwasiliana na Makao Makuu ya jeshi kinyume na utaratibu huu,unawasababishia wananchi usumbufu usio wa lazima.

Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na
Uhusiano Makao Makuu JWTZ.

Related Posts:

  • Uchaguzi wa Marudio CCM Hapatoshi Vurugu Zatanda. Vurugu zimeibuka katika uchaguzi wa marudio wa kumpata mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM (UVCCM) Wilaya ya Nyamgana baada ya wajumbe kutoka Kata ya Mahina kuzuiwa kuingia ukumbini kupiga kura wakid… Read More
  • Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Apiga Marufuku Ubomoaji Nyumba. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi amepiga marufuku ubomoaji wa nyumba bila idhini yake. Pia, ameliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata madalali wa Mahakama wanaotumiwa kubomoa nyumba za wananchi bila kupata kibali kutoka … Read More
  • Chadema Yamsimamisha Katibu Wake. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro, kimezifuta barua walizoandikiwa madiwani sita wa Halmashauri ya Moshi, wakitakiwa kujieleza kwa usaliti. Mbali na kufuta barua hizo zilizokuwa zimeandikwa … Read More
  • Muziki wa Vigodoro Wapigwa Marufuku Tanga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga R.P.C Benedict Michael Wakulyamba, amepiga marufuku Vigodoro ndani ya jiji hilo kutokana na vitendo hivyo kuhamasisha uhalifu. Akiongea ofisini kwake R.P.C Benedict amesema miongoni mwa vi… Read More
  • Whatsapp Yafutwa China. Baada ya malalamiko ya muda mrefu ya serikali ya China juu ya mtandao wa ujumbe mfupi wenye kubeba mafaili ya Sauti, Picha na Video “WhatsApp” hatimaye imeuondoa rasmi nchini humo. Imeripotiwa kuwa mtandao wa WhatsA… Read More

0 comments:

Post a Comment