Idadi
ya Raia wa kigeni kutoka nchini Ephiopia waliokuwa wakisafirishwa na
Gari la magazeti la kampuni ya Mwananchi Communication Ltd imefikia 12
baada ya wengine 4 kukamatwa Jioni wakiwa Eneo la Kibwabwa mjini Iringa
wakiwa wamefichwa porini.
Kamanda
wa Polisi wa mkoa wa Iringa Peter Kakamba amesema kuwa tayari ametuma
usafiri kwenda kuwabeba Raia hao ambao wanadai walishushwa katika gari
hilo aina ya Hiace ili kuvuka eneo la ukaguzi wa Magari ( check pointi)
kijiji cha Igumbilo nje kidogo ya mji wa Iringa.
Wakati huo huo Kampuni ya Mwananchi Communication Limited (MCL) imetoa ufafanuzi kuhusiana na kuhusishwa na kadhia hiyo. Soma zaidi:
0 comments:
Post a Comment