Saturday, 30 April 2016

Niva Atoboa Sababu ya Nay wa Mitego Kuachwa na Shamsa Ford.Fahamu zaidi hapa.

Msanii wa filamu nchini Niva Super Mariyoo, ambaye alionja joto ya jiwe kwa muda fulani baada ya kutajwa kwenye wimbo wa Nay wa Mitego ‘Shika adabu yako’ na kusema “Huyo msanii huyo hana hata chumba cha kupanga ila anaishi kwenye gari”. Niva amefunguka na kusema kuwa Nay wa Mitego siku zote huwa anaimba watu maarufu ili apate kiki na kusema msanii huyo kutokana na...

HATIMAYE JOTI AANZISHA TV YAKE YA VICHEKESHO…TAZAMA KICHEKESHO ALICHOANZA NACHO AKIWA KATIKA NYUMBA YA WEMA SEPETU.Fahamu zaidi hapa.

Wasanii wa vichekesho nchini wameanza kuamka na kutambua kuwa Youtube ni mtandao unaoweza kuwapa mkwanja mzuri kama wakiutumia ipasavyo. Joti ameamua kuja na series za vituko vyake ambavyo anaweka Youtube kwaajili ya kuvunja mbavu mashabiki wake. Check hiyo video ya kwanza. ...

#BREAKING NEWS>>>LOWASSA ASIMAMISHWA NJIANI NA WANANCHI WA DUMILA MORO..WATU WAMWITA RAIS.Fahamu zaidi hapa.

Kwa habari zaidi endelea kufatilia hii blog "Www.hebronmalele.blogspot.c...

Habari Katika Magazeti ya siku ya Leo Jumapili Ya Tarehe Moja Mwezi wa 5 hapa.

...

#YALIYOJIRI>>>>Mbunge Prof. Anna Tibaijuka amemtaka Rais Magufuli aache kutumbua nyama akidhani ni majipu.Fahamu zaidi hapa.

Amesema “Naafiki kuanzishwa kwa mahakama ya mafisadi, labda itasaidia kukamatwa na kushitakiwa mafisadi wenyewe. Maana wengine tunatolewa kafara na mtandao hauguswi, labda zitaachwa kukamuliwa nyama na kuziita majipu”. Akiongea na Count Down ya Clouds Fm Prof Tibaijuka amesema yeye ni muhanga wa ufisadi. Amesema kuna mtandao wa mafisadi unaotoa watu kafara na wenyewe...

#YALIYOJIRI>>>>Wabunge wa CCM Wakataa Bunge Kuonyeshwa LIVE…….Wapinzani Waamua Kujirekodi Kwa Simu Zao.Fahamu zaidi hapa.

Wabunge wa CCM jana waliibuka kidedea walipowazidi wenzao wa upinzani kwa kura za sauti “Siyooooo” kuikataa hoja ya kutaka matangazo ya Bunge kurushwa moja kwa moja ‘live’ na televisheni. Hiyo ilitokea jana wakati Bunge lilipokaa kama kamati kupitisha bajeti ya Ofisi ya Rais (Tamisemi na Utumishi na Utawala Bora) na kuzua mvutano mkali uliosababisha bajeti hiyo ipitishwe...

#YALIYOJIRI>>>>MR. BLUE KASEMA – KUWA SUGU AMEHATARISHA NDOA YAKE.Fahamu zaidi hapa.

MKALI wa Muziki wa Hip Hop, Bongo Kheri Sameer ‘Mr Blue’ ameendelea kumporomoshea lawama Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambaye pia ni msanii wa Muziki wa Hip Hop, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kuwa usumbufu aliokuwa anampa ili kuiachia ngoma yake ya Freedom ulimsababishia ‘rabsha’ ndani ya ndoa yake.    Shutuma hizo...

#YALIYOJIRI>>>>Makonda Asema hataki kuwaona wasanii nyumbani kwake,Ni Baada ya Kumtosa kwenye uzinduzi wa kampeni ya usafi.Fahamu zaidi hapa.

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema hataki kuwaona nyumbani kwake wasanii ambao wamekacha kuhudhuria kampeni yake ya usafi ambayo imezinduliwa Jumamosi hii katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam. Akizungumza katika uzinduzi huo, Paul Makonda ameonesha kusikitishwa na idadi ndogo ya wasanii waliojitokeza kuunga mkogo kampeni hiyo. “Lakini ...

#YALIYOJIRI>>>Watu kadhaa wamenusurika baada ya ndege ya Shirika la Ndege la Auric Air kupata ajali katika Uwanja wa Bukoba leo.Fahamu zaidi hapa.

Watu kadhaa wamenusurika  kufa baada ya ndege ya Shirika la Ndege la Auric Air waliyokuwa wakisafiria kupata ajali katika Uwanja wa Ndege wa Manispaa ya Bukoba ilipokuwa ikitua na rubani kupoteza uelekeo  kama inavyo onekana pichani. Ndege hiyo ilikuwa ikisafiri kutoka Jijini Mwanza ,tukio limetokea majira ya saa nne asuhuhi ya leo Jumamosi April 30,...

#YALIYOJIRI>>>Wafanyabiashara Walioficha Sukari Waanza Kukamatwa.Fahamu zaidi hapa.

Kauli  ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuwa baadhi ya wafanyabiashara wameficha sukari ili kutengeneza uhaba sokoni utakaopandisha bei ya bidhaa hiyo, imedhihirika baada ya baadhi ya wafanyabiashara hao kuanza kukamatwa wakiwa na vidhibiti. Kutokana na hali hiyo iliyosababisha bei ya bidhaa hiyo kuanza kupanda, Waziri Mkuu Majaliwa, alitangaza uamuzi wa...

#YALIYOJIRI>>>>Mapendekezo Ya Sheria Ya Wazee Kuwasilishwa Bungeni.Fahamu zaidi hapa.

NAIBU WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla amesema Serikali imekamilisha mapendekezo ya uundwaji wa Sheria ya Wazee ambayo yatawasilishwa katika mkutano wa Bunge wa Septemba. Dk. Kigwangalla aliyasema hayo jana (Ijumaa, Aprili 29, 2016) wakati akitoa ufafanuzi kwa Viongozi wa Mtandao wa Wazee waliomtembelea Waziri...

Hatimaye Lulu Michael Avishwa Pete ya Uchumba na Dj Majay…Tazama Picha Hapa.

...

Download nyimbo ya Ferooz inayoitwa "Nimejifunza".Hapa hapa.

...

#YALIYOJIRI>>>>TCRA Yatoa Onyo Kwa Wafanyabiashara Wanaobadili IMEI za Simu FEKI ili Kuwahadaa Wananchi.Fahamu zaidi hapa.

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kiama kwa wafanyabiashara wa vifaa vya mawasiliano, kuacha kuwahadaa wananchi kwa kutoa punguzo ili kuwashawishi kununua simu bandia na kutishia kuwafunga miaka 10 jela, faini ya Sh30 milioni au vyote kwa pamoja watakaobainika. Hatua hiyo imekuja wakati mamlaka hiyo ikiwa katika hatua ya kutekeleza mfumo wa rajisi...

MH SUGU AMNUNULIA MPENZI WAKE WASASA GARI AINA YA LEXUS AZUA GUMZO MTANDAONI.Fahamu zaidi hapa.

Ripoti kutoka mitandaoni zinasema kuwa Muheshimiwa Mbunge Sugu Amemzawadia Gari aiana ya Toyota Lexus kama zawadi ya siku ya kuzaliwa kwa mpenzi wake ajulikanae kama Happiness, Sugu na mpenzi wake huyo mpya wamekuwa gumzo mitandaoni hasa baada ya aliyekuwa mpenzi wa Sugu wa zamani Faiza Ally kusema bado anampenda Sugu….Wadau wengi tunasubiri kuona Faiza atasema nini...

#YALIYOJIRI>>>>Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania ( TPDC ) Lakanusha Kufungua Akaunti za ESCROW katika Benki ya Stanbic.Fahamu zaidi hapa.

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania, linapenda kutoa taarifa sahihi juu ya taarifa ambazo zimekuwa zikiandikwa na vyombo mbalimbali vya habari, pamoja na mitandao ya kijamii kuhusu TPDC kufungua Akaunti za ESCROW katika Benki ya Stanbic. Ni vyema ikaeleweka kwamba, Akaunti ya  ESCROW  ni Akaunti  maalumu inayoweza kufunguliwa  baina ya ...

Friday, 29 April 2016

VIDEO>>>MWILI WA PAPA WEMBA WAWASILI DR CONGO HII HAPA.

Jana mwili wa nguli wa musiki wa rumba Papa Wemba uliwasili nchini kwao Congo DR na haya ndiyo yaliyokuwa mapokezi yak...

#MICHEZO>>>FARID MUSA TAYARI KAPIMWA AFYA, ATASAINI DEAL SPAIN.Fahamu zaidi hapa.

 Habari njema kuhusu winger wa Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania Farid Musa ni kwamba, leo amefanyiwa vipimo vya afya ili kujua ufiti wake, Tenerife wamesema ikiwa atafanikiwa kufaulu vipimo hivyo, wangependa wamchukue kwa mkopo wa miaka miwili (2).  Farid Musa ameongezewa wiki moja nyingine ya majaribio na Club Deportive Tenerife ya nchini Hispania ambako...

Download nyimbo ya Nuh_Mzinda Ft Ali_Kiba inayoitwa "Jike shupa".Hapa hapa.

...