Ilibidi Samatta apumzike baada ya kipindi cha kwanza kutokana na maumivu aliyoyapata kipindi cha kwanza kwa kugongwa puaniJumapili April 24 usiku timu ya Genk ilishuka dimbani kuchuana na
Gent lakini taarifa mbaya kuhusu star wa Bongo kwenye ligi ya Ubelgiji
Mbwana Samatta ni kwamba, amepata majeraha katika mchezo huo ambao
alianza kwenye kikosi cha kwanza lakini hakuweza kumaliza dakika zote
90.
Kipindi cha pili Samatta alishindwa kurudi uwanjani kuendelea na
mchezo kutokana na maumivu aliyoyapata kipindi cha kwanza baada ya
kugongwa pua. Ilibidi nafasi yake ichukuliwe na Nikolaos
Karelis aliyeingia dakika ya 46 kipindi cha pili.
0 comments:
Post a Comment