Home »
Habari Moto
» LADY JAYDEE AANDIKA HAYA MANENO KUHUSU RADIO E-FM.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Siku chache baada ya Mtangazaji nguli, Gardner G. Habash kukihama
kituo cha radio cha E-FM na kurejea Clouds FM kwa donge nono, aliyekuwa
mkewe, Lady Jay Dee amekiongezea nguvu kituo hicho.
Jide ambaye
kwa muda mrefu amekuwa katika mtafaruku na kampuni ya Clouds Media
Group, ameonesha kupitia instagram kuwa ameamua kushirikiana na E-FM
ambayo ingawa hajaeleza wazi kuwa ushirikiano wake utakuwa wa aina gani
na ni kwa jambo lipi.
“jidejaydee#HuuMchezoHauhitajiHasira #NdiNdiNdi Efm feat Jide,” aliandika Jide.
Baadhi ya watu wameanza kuhisi mwimbaji huyo mwenye ukwasi na sapoti
kubwa ya mashabiki anaweza kuwa amenunua kipande cha hisa za redio hiyo
ambayo awali ilikubwa na tetesi kuwa huenda yeye ndiye mmiliki. Hata
hivyo alizizima tetesi hizo baada ya kueleza kuwa yeye sio mmiliki wa wa
E-FM.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>>Watahiniwa 75,000 Waanza Mtihani wa Kidato cha Sita Leo.Fahamu zaidi hapa.
Watahiniwa
74,920 leo wanaanza kufanya mtihani wa kuhitimu Kidato cha Sita katika
shule mbalimbali nchini huku watahiniwa 11,597 wakifanya mtihani wa
Ualimu.
Ofisa
Habari wa Baraza la Mitihani (NECTA), John … Read More
#YALIYOJIRI>>>>MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI 2016 YAFANYIKA KITAIFA JIJINI MWANZA.Fahamu zaidi hapa.
Bi.Valerie
Msoka kutoka Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA),
akiongoza kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari
kwa mwaka 2016 yanayofanyika kitaifa katika hoteli ya ufukweni ya… Read More
#YALIYOJIRI>>>>BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR (ZFDB) YAHARIBU TANI 42.2 ZA BIDHAA ZISIZOFAA KWA MATUMIZI YA BINADAMU.Fahamu zaidi hapa.
Wafanyakazi
wa ZFDB wakipakia shehena ya bidhaa zilizoharibika tayari kwenda
kuangamizwa katika Dampo la Kibele Mkoa Kusini Unguja.
Bidhaa
mbali mbali zilizoharibika zikiteremshwa kutoka kwenye gari na
waf… Read More
#YALIYOJIRI>>>>CAG, Msajili wa Hazina Watofautiana Kuhusu Shirika la Pride.Fahamu zaidi hapa.
Wakati Mdhibiti na Mkaguzi wa
Hesabu za Serikali (CAG) akisema Pride (Promotion of Rural Initiatives
and Development Enterprises) ni shirika la umma, Msajili wa Hazina,
Lawrence Mafuru anasema hana nyaraka zinazoonyesha… Read More
Idris Sultan adai Meneja wake amemfilisi pesa zake.Fahamu zaidi hapa.
Mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2014, Hotshots Idris
Sultan, amevunja ukimya na kuzungumzia tetesi ambazo zilikuwa zinazagaa
kwenye mitandao ya kijamii kwamba kuna mtu alimpatia pesa zake kwa ajili
ya biashara … Read More
0 comments:
Post a Comment