Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>MREMA Atoa Mpya..Aamua Kumfuata Rais Magufuli Dar es Salaam ili Ampe Kazi..Adai Kuna Majipu Anayajua Akayasafishe.Fahamu zaidi hapa.
Mwenyekiti wa taifa wa Chama cha TLP na aliyekuwa mgombea Ubunge wa
jimbo la Vunjo, Agustino Mrema anatarajia kusafiri kuja jijini Dar es
salaam kwa lengo la kumpongeza Rais Magufuli na kumkumbusha ahadi
aliyompa mwaka jana ya kumpatia kazi Serikalini.
Akizungumza kupitia kipindi cha Sun Rise kinachoruka kupitia Times fm,
Mrema amempongeza Rais kwa jitihada za ukusanyaji kodi na kupambana na
Ufisadi kwa nguvu.
“Tuweke itikadi pembeni Rais wa sasa anaweka juhudi katika kukusanya
kodi, na mimi nilikuwa napiga nalo sana kelele hili swala, ila akipewa
ushirikiano baada ya miaka mitano tutasheherekea mafanikio yake.
“Wiki ijayo natarajia kuja Dar, na nafikiri nitaonana na Rais kwanza
nimpongeze alafu nimsisitize anipe nafasi kuna sehemu nazijua
tuzisafishe, siwezi kusema mpaka nionane nae ndio nitamueleza”.
Mrema pia alijivunia rekodi yake ya uongozi katika Serikali ya Tanzania,
kama kigezo kimoja wapo cha kumpatia ‘Chambirecho’ ya kupewa nafasi
katika Serikali ya Magufuli.
Related Posts:
CHINA Watoa Ajira 150,000 kwa Watanzania.
BALOZI wa China, Lu Youqing, amesema mpaka kufikia mwaka jana nchi yake
ilikuwa imetoa ajira 150,000 kwa Watanzania baada ya kufanya uwekezaji
wa dola za kimarekani bilioni 6.62 (sawa nash. trilioni 14.6).
Balozi Youq… Read More
RIPOTI ya Amnesty Yabaini Ukiukwaji Haki za Binadamu Tanzania.Fahamu zaidi hapa.
Ripoti ya Shirika la Amnesty
International imebainisha kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizokiuka
haki za binadamu kwa kiasi kikubwa kutokana na dosari za kiutawala,
ikiwamo kuzuia uhuru wa kujieleza, mikutano ya kis… Read More
SIRI ya Vifo vya Askari Pwani Yafichuka..Kumbe Al Shabaab Wanahusika..Huwachukua Vijana wa Kitanzania na Kuwapeleka Somalia kwa Mafunzo Maalumu..Hivi Ndivyo Ilivyokuwa A - Z.Fahamu zaidi hapa.
Matukio ya ujambazi wa kutumia silaha, mauaji ya polisi na viongozi wa
vijiji katika wilaya za Mkuranga, Kibit na Rufiji mkoani Pwani,
yanahusishwa na vikundi vya vijana wanaopata mafunzo kutoka kwenye kundi
la al-Shaba… Read More
BASHITE Awatesa Mawaziri Bungeni..Habari Vichwa vya Magazeti ya Leo 23/4/2017.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
&nbs… Read More
Julius Mtatiro afunguka Baada ya CUF Kuvamiwa na Watu Wasiojulikana.Fahamu zaidi hapa.
KUFUATIA Kundi la watu wasiofahamika waliokuwa wamevalia kininja wakiwa
na MAPANGA na BASTOLA moja kuvamia mkutano wa Chama Cha Wananchi (CUF)
na kudaiwa kuwapiga viongozi na wanahabari.
Katika Mkutano huo, Mwenyeki… Read More
0 comments:
Post a Comment