Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>TETESI: Donald Ngoma wa Yanga kucheza Europa msimu ujao.Fahamu zaidi hapa.
Ngoma aliye katika msimu wake wa kwanza kwenye Mkataba wa miaka miwili
aliosaini kutoka FC Platinums ya Zimbabwe Julai 2015, ametokea kuwa
kipenzi cha wana Yanga
Timu moja ya Ligi Kuu ya Yugoslavia ambayo mwakani itacheza
michuano ya Europa League inamtaka mshambuliaji wa Yanga SC, Mzimbabawe
Donald Dombo Ngoma.
Kwa mujibu wa BinZubeiry Chanzo cha habari kutoka Yanga kimesema kwamba klabu hiyo inataka kufanya mazungumzo na uongozi juu ya a biashara ya Ngoma.
Chanzo
hicho kilisema katika barua yao ambayo wameituma tena kuwakumbusha
Yanga juu ya kumuhitaji Ngoma, wamesema kwamba wako tayari kumnunua kwa
dau la Dola za Marekani 350,000 (zaidi ya Sh. milioni 700 za Tanzania).
"Yule
wakala bado anakumbusha barua yake kuhusiana na kumuhitaji Ngoma,
lakini Yanga hawataki hata kukaa mezani kuzungumza, na wamesema wako
tayari kuongeza dau endapo watatakiwa kufanya hivyo," kilisema chanzo
hicho.
Kiliendelea kusema kwamba straika mwenyewe
yuko tayari kwenda kujiunga na timu hiyo na anaitaka Yanga ikubali
kufanya mazungumzo.
Ngoma aliye katika msimu wake wa
kwanza kwenye Mkataba wa miaka miwili aliosaini kutoka FC Platinums ya
Zimbabwe Julai 2015, ametokea kuwa kipenzi cha wana Yanga kutokana na
Related Posts:
#MICHEZO>>>WANAOIGEUZA YANGA ‘KUKODISHWA’ NI DHAMBI NA UDHAUFU WAO WA HOJA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
MABINGWA wa England, Leicester City ni timu ya familia moja nchini Thailand.
Familia
hiyo inajulikana kwa jina la Srivaddhanaprabha, imeiongoza Leicester
City hadi kutwaa ubingwa. Leo kuna Watanzania wanataka kuingi… Read More
#MICHEZO>>>>PAUL POGBA AREJEA MANCHESTER UNITED ASAINI MKATABA WA NGUVU.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kwahiyo ni ishu gani nyingine itaizunguka Man United?: Juan Mata
anaondoka? Bastian Schweinsteiger ataweza kukikwepa kikosi cha akiba?
Je, Marcos Rojo atasalimika katika wiki tatu zilizosalia?
Tutaona, lakini sasa ji… Read More
#EXCLUSIVE>>>>MO BEJAIA WATUA DAR USIKU KIMYAKIMYA, YANGA HAWAJUI KITU.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Ukitaka
kuona watu wamepania, basi hii inaweza kuwa funzo. Maana inaelezwa kuwa
kikosi cha Mo Bejaia kutoka nchini Algeria kimetua nchini kimyakimya.
Taarifa
zimesema timu hiyo kutoka Algeria ambayo ipo Ku… Read More
#MICHEZO>>SIMBA AUNGULUMA SIMBA DAY AMUANGAMIZA "AFC Leopards 4 -0".Fahamu zaidi hapa.
Simba imeuanza msimu vizuri kwa utambulisho wa kikosi chake kwa kufunga mabao matatu katika mechi moja.
Simba
imewatwanga wageni wake AFC Leopards ya Kenya kwa mabao 3-0 katika
mechi ya kirafiki maalum katika Simba … Read More
#MICHEZO>>>HIKI NDICHO TFF WALICHOMWELEZA JERRY MURO, AFUNGUE TU MDOMO...PAAAA!...FAHAMU ZAIDI HAPA.
KATIBU MKUU WA TFF, MWESIGWA CELESTINE
Wiki
iliyopita Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro,
alitangaza kuendelea kupiga kazi kama kawaida na kwamba hatambui adhabu
yake ya kufungiwa mwaka… Read More
0 comments:
Post a Comment