Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>DONE DEAL# MANCHESTER UNITED YANASA KIFAA KIPYA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Manchester United imeendelea kutekeleza sera yake ya kuwekeza kwa
vijana baada ya mashetani hao wekundu kufanikiwa kumsajilikinda wa miaka
16 Nishan Burkhart kutoka klabu ya FC Zurich.
Story hiyo imethibitishwa na gazeti la kilasiku la Blick la Uswiss ambalo linapicha pamoja nukuu za kuthibitisha uhamisho huo.
Picha hiyo inamuonesha Burkhart ambaye anacheza nafasi ya ushambulizi
akiwa na wazazi wake pamoja na kocha msaidizi wa Man United Ryan Giggs.
Baba wa kinda huyo Stefan Burkhart, ameliambia Blick: Tumeamua kuachana na klabu hii wakati wa majira ya joto. Nishan anahamia Manchester United, anamawazo tofauti.
Je, huyu ni Marcus Rashford mwingine?
Nishan Burkhart ni mshambuliaji wa kati amabye amejizolea umaarufu hasa kwa uwezo wake mkubwa wa mguu wa kulia.
Anatarajiwa kujiunga na academy ya Man United na kuandaliwa kuingia kwenye timu ya vijana mara atakapotua Carrington.
Related Posts:
#MICHEZO>>>Harry Kane wa Tottenham Hotspurs donge nono lamtembelea.Fahamu zaidi hapa.
Mshambuliaji
raia wa Uingereza Harry Kane 22,huenda akazawadiwa kwa mkataba mnono na
klabu yake ya Tottenham Hotspurs kutokana na msimu mzuri.Mshambuliaji
uyo anaelipwa paundi 50,000 kwa wiki atalipwa mara mbili ya msha… Read More
#MICHEZO>>>EXCLUSIVE: KESSY RASMI LEO ANATUA YANGA, ANASAINI NA KUPEWA JEZI YAKE.Fahamu zaidi hapa.
Kilichobaki kati ya Yanga na beki Hassan Kessy ni kuweka saini kwenye mkataba pekee.
Yanga na beki huyo ambaye mkataba wake Simba unakwisha,
wamefikia mwafaka baada ya kukubaliana kila kitu na leo matarajio
makubwa ata… Read More
#MICHEZO>>>>LIVERPOOL YATINGA FAINALI EUROPA CUP, YAITWANGA VILLARREAL.Fahamu zaidi hapa.
Liverpool: Mignolet, Clyne, Toure, Lovren, Moreno, Can,
Lallana, Milner, Coutinho (Allen 83 mins), Sturridge (Lucas 92), Firmino
(Benteke 90)
Subs not used: Ward, Ibe, Skrtel, Smith
… Read More
#MICHEZO>>>USAJIRI Mchezaji wa timu ya Chelsea kutimkia Juventus.
Nemanja
Matic kutimkia Juventus,Inasemekana Chelsea Wameafikiana makubaliano ya
paundi milioni 20 na mabingwa hao wa Serie A.Kocha anaekuja kuchukua
mikoba ya Hiddink,muitaliano Conte hajaridhika na mchezaji huyo kubaki
… Read More
#MICHEZO>>>WAAMUZI KUTOKA GHANA KUAMUA MECHI YA YANGA CAF.Fahamu zaidi hapa.
MWANDISHI WETU
Mwamuzi Joseph Odartei Lamptey,
Jumamosi Mei 7, 2016 anatarajiwa kuwa mwamzi wa kati katika mchezo wa
kimataifa kuwania Kombe la Shirikisho Barani Afrika utakaozikutanisha
timu za Young Africans ya Dar… Read More
0 comments:
Post a Comment