MTU MMOJA ANAYE SAKIKIKA KUWA JAMBAZI AMEKAMATWA JIJINI DAR MAENEO YA POSTA BAADA YA KUTAKA KUMTAPELI MAMA MMOJA ANAYE FANYA KAZI YA TIGO PESA …MASHAHIDI WALIO KUWEPO ENEO HILO WANASEMA HUYO KIJANA ALIFIKA KWA DADA HUYO KWA LENGO LA KUTAKA KUWEPA PESA KIASI CHA TSH.ELFU TANO ..WAKATI YULE DADA ALIKUWA ANAHESABU PESA ZAKE KWANZA NDIPO HUYO JAMBAZI AKAKWAPUA NA KUKIMBILIA NDANI YA GARI AINA YA NOAH..NA KUMRUSHIA MTU ALIYEKUWA NYUMA YA HILO GARI….WAKATI HUO MCHEZO UKIENDELEA NDIPO DEREVA AKAWA ANAJIANDAA KUWASHA GARI NA KUONDOKA NDIPO RAIA WAKAMDAKA DEREVA NA KUMTOA KWENYE GARI …LAKINI DEREVA NA YULE ALIYEPOKEA PESA AKACHOROPOKA ..ILA YULE ALIYEIBA AKANASWA NDO HUYO KWENYE PICHA
Friday, 29 April 2016
Home »
Habari Moto
» #Breaking News>>>JAMBAZI SUGU LAKAMATWA POSTA ,WAWILI WAKIMBIA..NOAH YAKAMATWA.Fahamu zaidi hapa.
#Breaking News>>>JAMBAZI SUGU LAKAMATWA POSTA ,WAWILI WAKIMBIA..NOAH YAKAMATWA.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>>Chadema kutoa msimamo wa Oparesheni UKUTA Leo.Fahamu zaidi hapa. Mwezi mmoja baada ya Chadema kusitisha Operesheni Ukuta kupinga inachokiita ukiukwaji wa haki za binadamu na ukandamizaji wa demokrasia, leo inatarajia kutoa mwelekeo wa mkakati huo. Operesheni hiyo ilipangwa kuzind… Read More
#BURUDANI>>>Wasanii 10 Waliobuma Pamoja na Kutoa Nyimbo Kali Mwaka Huu.Fahamu zaidi hapa. Mara baada ya team za pande mbili kuendelea kushamiri katika mitandaoni hali hii imewanyima nafasi wasanii wengine wa bongo kufanya vizuri nyimbo 10 ambazo zimeshidwa kufanya vizuri 2016 ni hizi 1. Kassim Mganga _Manuari… Read More
#YALIYOJIRI>>>Waziri Mkuu Kuhamia Dodoma Leo.Fahamu zaidi hapa. WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, anatarajia kuhamia rasmi Dodoma leo. Majaliwa anahamia mjini hapa ikiwa ni sehemu ya kutekeleza ahadi ya Serikali ya awamu ya tano ya kuhamia Dodoma ambako ndiko yaliko makao makuu ya … Read More
#YALIYOJIRI>>>>>Utafiti Twaweza: Nchi Haiongozwi Kidikteta.Fahamu zaidi hapa. Asilimia 58 ya Watanzania wamepinga kauli za baadhi ya wanasiasa kuwa Rais John Magufuli anaendesha nchi kidikteta huku asilimia 31 imesema haina uhakika na jambo hilo. Aidha, imeelezwa kuwa asilimia 80 ya wananch… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Taarifa kuhusu kesi ya viongozi waliofungua akaunti bandia ya maafa Kagera.Fahamu zaidi hapa. Watumishi watatu wa Serikali akiwamo Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Bukoba, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba wakituhumiwa kutaka kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu. Watumishi… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment