Mchezo wa nusu fainali ya Azam Sports Federation Cup (FA Cup) kati ya Coastal Union dhidi ya Yanga umeshindwa kumalizika kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani Tanga kutokana vurugu za mashabiki. Mwamuzi wa pambano hilo alilazimika kulivunja pambano hilo likiwa kwenye dakika 30 za nyongeza baada ya dakika 90 za kawaida kumalizika huku timu hizo zikiwa sare kwa kufungana goli 1-1. Hadi mchezo huo unavunjwa na mwamuzi, Yanga walikuwa wanaongoza kwa magoli 2-1. Coastal Union walikuwa wa kwanza kupata goli la kuongoza lililofungwa na Sabo dakika ya 54 kipindi cha pili lakini Ngoma akaisawazishia Yanga kabla ya Tambwe kuiweka mbele Yanga kwa goli la dakika za nyongeza kabla ya mchezo kuvunjwa. TFF inasubiriwa kutoa muongozo juu ya mchezo huo ambao dakika zake 120 hazikumalizika
Monday, 25 April 2016
Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>Picha 5:: Refa Alivyoumizwa na Mashabiki Wa Coastal Union Wakicheza na Yanga.Jionee hapa.
#MICHEZO>>>Picha 5:: Refa Alivyoumizwa na Mashabiki Wa Coastal Union Wakicheza na Yanga.Jionee hapa.
Related Posts:
Breaking News>>>Jamali Malinzi hatoweza kushiriki uchaguzi TFF. Rais wa TFF, Jamal Malinzi hataweza kutetea kiti chake cha urais. Malinzi hataweza kwa kuwa kesi iliyomfikisha mahakamani leo itasikilizwa tena Jumatatu Julai 3 na Malinzi atakaa rumande hadi siku hiyo. Usaili wa viongoz… Read More
Mchezaji Donald Ngoma si wa Mchezo..Akata Mzizi wa Fitina...Yanga au Simba? Jibu Hili Hapa. Mshambuliaji wa Yanga, Mzimbabwe Donald Ngoma ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo katika Ligi Kuu Bara msimu ujao. Kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za timu hiyo wamethibitis… Read More
A to Z Kuhusu Kibano cha Malinzi na Mwenzake Takukuru. RAIS wa Shirikisho la Soka (TFF), Jamal Malinzi na Katibu Mkuu wa shirikisho hilo, Selestine Mwesigwa, wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kutokana na tuhuma za rushwa. Akizungumza na Ni… Read More
BREAKING NEWS>>>FIFA WAINGILIA KATI ISHU YA MALINZI (VIDEO) SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) muda wowote kuanzia sasa litatuma maofisa wake kuja nchini kufuatilia tuhuma za utakatishaji fedha alizonazo Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi. Malinzi na we… Read More
Siku Moja Tu watu wang’oa Bango la Mtaa wa Victor Wanyama. Unaweza usiamini, jana tu ilitolewa zawadi ya mtaa, asubuhi ya leo tayari bango la Mtaa wa Victorr Wanyama limeng’olewa. Taarifa zinaeleza wako ambao walitaka kuiba bango hilo kwa ajili ya vyuma chakavu lakini wengine wan… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment