Home »
Habari Moto
» MSANII BONGO MOVIE AFARIKI AKIJIFUNGUA .FAHAMU ZAIDI HAPA.
Ni
simanzi! Nyota ya msanii Leila Gabriel ‘Lissa’ ambayo ndiyo kwanza
ilikuwa imeanza kuchomoza kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, ilizimika
ghafla mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya msanii huyo kupoteza maisha
muda mfupi baada ya kujifungua kwenye Hospitali ya St. Benard, Kariakoo
jijini Dar es Salaam.
Filamu alizowahi kucheza?
Aishiwa nguvu wakati wa kujifungua.
Aabainika kutokuwa na damu ya kutosha.
Madaktari washindwa kumfanyia upasuaji
Bahati nzuri ajifungua salama.
Apatwa balaa lingine baada ya kujifungua, afariki dunia.
Mama wa Marehemu afunguka mazito kuhusu kifo cha mwanaye.
Simulizi ya kifo chake inasikitisha sana!
“Inauma
sana, mwanangu amefariki kwa maumivu maana shida ilikuwa ni ambulance,
kama ingepatikana kwa wakati naamini angepona lakini ndiyo hivyo tena,
kazi ya Mungu haina makosa,” alisema mama huyo kwa uchungu huku akitokwa
machozi.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina!
-Chanzo: GPL
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>>Wanaofanya Biashara ya Ngono Wataka ajira Irasimishwe.Fahamu zaidi hapa.
Baadhi
ya wanawake wanaojiuza katika mitaa ya Majengo B na Fisi, mjini Mpanda
mkoani Katavi wameitaka Serikali kuandaa utaratibu wa kuwatambua ili nao
waweze kulipa kodi na kuliingizia taifa pato kutokana na shughuli
w… Read More
#YALIYOJIRI>>>> Maalim Seif atua Pemba, vurugu zaikutanisha CUF, SMZ.Fahamu zaidi hapa.
Msafara
wa Katibu CUF, Maalim Seif Sharif Hamad ukilakiwa na wakazi wa Kisiwani
cha Pemba Zanzibar wakati katibu huyo alipowasili kisiwani humo kwa
ziara ya kikazi. Picha ya Mtandao Habari Kwanza
Maalim Seif aliwasili … Read More
#YALIYOJIRI>>>>Vijana Wanaovaa Suruali Chini ya Kiuno Kuchapwa Viboko 70.Fahamu zaidi hapa.
Wakazi
wa Kata ya Karansi, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro wametoa uamuzi
kuwa wanawake watakaovaa sketi fupi na vijana watakaovalia suruali chini
ya kiuno, wataadhibiwa kwa kuchapwa viboko 60 hadi 70.
Ua… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Jaji Mkuu: Sheria Ya Makosa ya Mtandaoni Haina Lengo la Kuwakandamiza Watanzania.Fahamu zaidi hapa.
JAJI
MKUU wa Tanzania, Mohammed Chande Othman amesema sheria ya mitandao
ilipitishwa kwa lengo jema la kulinda watumiaji, wanajamii na usalama wa
Taifa la Tanzania.
Ametoa
kauli hiyo jana (Jumamosi, Mei 14,… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Serikali Yatangaza Msako wa Waliokula Fedha za Watumishi Hewa.Fahamu zaidi hapa.
WAZIRI
MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeamua kupambana na wala rushwa
ili kiasi kidogo cha rasilmali kilicholengwa kiweze kuwafikia wananchi.
Ametoa
kauli hiyo jana (Jumamosi, Mei 14, 2016) wakati aki… Read More
0 comments:
Post a Comment