Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>FARID MUSA TAYARI KAPIMWA AFYA, ATASAINI DEAL SPAIN.Fahamu zaidi hapa.
Habari njema kuhusu winger wa Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania Farid
Musa ni kwamba, leo amefanyiwa vipimo vya afya ili kujua ufiti wake,
Tenerife wamesema ikiwa atafanikiwa kufaulu vipimo hivyo, wangependa
wamchukue kwa mkopo wa miaka miwili (2).
Farid Musa ameongezewa wiki moja nyingine ya majaribio na Club Deportive
Tenerife ya nchini Hispania ambako ameenda kusaka mafanikio ya soka la
kulipwa nje ya Tanzania.
Yusuf Bakhresa ambaye yuko pamoja na Farid nchini Hispania, ameiambia
www.shaffihdauda.co.tz kwamba inavyoonekana mpaka sasa Farid ananafasi
kubwa ya kubaki kwenye klabu hiyo.
Related Posts:
RONALDO APIGA BAO LAKE LA 500 MADRID IKISHINDA 2-0 KOMBE LA DUNIA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mshambuliaji
nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amefunga bao lake la 500 wakati
Real Madrid ikishinda kwa mabao 2-0 katika mechi ya Kombe la Dunia kwa
upande wa klabu.
Madrid imeishinda Club America ya Mexico ka… Read More
DILI LA MBUYU TWITE KWENDA MAJIMAJI LABUMA, YAELEZWA AMEPATA OFA NJE.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Usajili wa beki Mbuyu Twite kwenda Majimaji ya Songea umeingia ruba baada ya kukwama katika hatua za mwisho.
Majimaji ilifikia hatua nzuri ya mazungumzo na Twite, lakini baadaye katika hatua za mwisho suala hilo likashi… Read More
MCHEZAJI Yaya Toure Ashtakiwa Kwa Kuendesha Gari Akiwa Amelewa...Mwenyewe Adai Yeye ni Mwislam.Fahamu zaidi hapa.
Mchezaji wa klabu ya Manchester City ambaye ni raia wa Ivory Coast Yaya
Toure amesema hajapinga shtaka la kuendesha gari akiwa amelewa wiki
mbili zilizopita.
Hata hivyo, amesema kwamba hakunywa pombe makusudi alipokamatw… Read More
BAADA KUONDOKA KWA MBUYU TWITE, HAYA HAPA MANENO YA JUMA ABDUL.FAHAMU ZAIDI HAPA.
&… Read More
KATIKATI YA LA LIGA, BARCELONA YATUA QATAR, YAITWANGA AL AHLI YA SAUDI ARABIA 5-3 NA KURUDI NYUMBANI USIKU.FAHAMU ZAIDI HAPA.
FC
Barcelona imeitwanga Al Ahli ya Saudi Arabia kwa mabao 5-3 katika mechi
ya kirafiki iliyomalizika hivi punde huko Doha, Qatar.
Katika
mechi hiyo ya kirafi, Luiz Suarez, Lionel Messi na Neymar kila mmoja
alifunga … Read More
0 comments:
Post a Comment